Tetesi: Yanga imekataa ofa ya pili ya klabu ya Wydad ya Tsh Bilioni 1.7

Waraabu wakiweka gela awafanyi biashara kwa hasaraaaqa
Cc
Mayele
 
Mimi mshabiki wa yanga ila najua hizo hela ulizotaja kwenye offer ni za uongo. Zimekuzwa tu.

Bei za kununua wachezaji sub saharan Africa zinajulikana
 
Kama ni kweli basi wamuachie aende. Yanga wasiwe na roho mbaya.
 
Kama mchezaji yupo kwenye mipango ya kocha basi sawa ila kama hayupo wa mwachie.
 
Miaka 20 au siyo 😂 Dah tunapigwa sana aisee
 
Haya wanayofanya yanga yatakuwa na maana tu kama klabu bigwa na kombe la supercup watafanya vizuri tofauti na hapo wataaibika sana.
 
Kinachowavutia wydad ni progress aliyo nayo mzize anaonekana ni mtu anaefundishika na kiwango hakijafika mwisho wanaamini wakimpika zaidi atakuwa tishio
Binafsi napenda kuona akicheza wydad ili wakikutana na team fudenge mzize awapige akiwa huko huko
Wydad hayupo shirikisho
 

DOGO UMEYABEBA HIVYO HIVYO KUYALETA NA WAKATI TULIKUWA TUNAWATAMBISHIA TU MIKIA HIZI HABARI? UWE UNACHUJA. TULIKIWA TUNAWAUMIZA TU MIKIA KWA HIZI TAARIFA MUDA ULE TUNABISHANA.
 
Kwa maslahi ya taifa Mzize abaki Yanga tu, waarabu ni wabaguzi sana, Mzize zile mistakes zake hawawez kumvumilia, bora abaki Yanga kwa kocha anayemuamn aendelee kukua
 
Kuna namna wenzetu wanavyochanganua mambo. Huyu Mzize anadharaulika kwa sababu ya Utanzania wake ila ana potential ya kuwa mshambuliaji hatari sana.

Muda utaongea.
Kabisa ndugu, kinachofanya watu wamchukulie poa mzize ni uzawa na wote tunajua jinsi gani kasumba ya kudharau wachezaji wazawa ilivyotutafuna wabongo.

Mimi naamini angekuwa ni miongoni mwa hao wanaotoka west Africa, basi angeongelewa sana kwa wiki tatu mfululizo mpaka anauzwa na uhamisho wake ungekuwa ni suala la kujivunia sana kama ilivyokuwa kwa mayele.
 
Ndio mkuu. Naomba hili dili lifanikiwe. Naamini ataimarika sana chiki ya kocha Rulani. Ni faida kwa Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…