Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nonda Shabani alitoka Yanga na kwenda kucheza ligi ya Ufaransa unaesema Yanga haiuzi wachezaji huyo Papii ilikuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waraabu wakiweka gela awafanyi biashara kwa hasaraaaqa- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Mwaka wa tatu huu kila siku ana miaka 20 masihara haya.Nani anunue Takataka ile kwa 1.7 😂😂
Haya wanayofanya yanga yatakuwa na maana tu kama klabu bigwa na kombe la supercup watafanya vizuri tofauti na hapo wataaibika sana.- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Wydad hayupo shirikishoKinachowavutia wydad ni progress aliyo nayo mzize anaonekana ni mtu anaefundishika na kiwango hakijafika mwisho wanaamini wakimpika zaidi atakuwa tishio
Binafsi napenda kuona akicheza wydad ili wakikutana na team fudenge mzize awapige akiwa huko huko
Ukute hapo unatumia Itel ya mkopo ila mbwembwe sasaNani anunue Takataka ile kwa 1.7 😂😂
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Akacheza dhidi ya Real Madrid, aliingia dakika ya 88, na dakika hiyohiyo akagusa mpira wa kwanza na kufunga goliNonda Shabani alitoka Yanga na kwenda kucheza ligi ya Ufaransa unaesema Yanga haiuzi wachezaji huyo Papii ilikuaje?
Kuna namna wenzetu wanavyochanganua mambo. Huyu Mzize anadharaulika kwa sababu ya Utanzania wake ila ana potential ya kuwa mshambuliaji hatari sana.Nani anunue Takataka ile kwa 1.7 😂😂
Mayele huyu tulimroga sababu hatukutaka aende mbwa yule. Kisinda hakujawahi kuwa na mchezaji paleMayele, Kisinda walitoka 5imba pia?
,
Kwa maslahi ya taifa Mzize abaki Yanga tu, waarabu ni wabaguzi sana, Mzize zile mistakes zake hawawez kumvumilia, bora abaki Yanga kwa kocha anayemuamn aendelee kukua- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Kabisa ndugu, kinachofanya watu wamchukulie poa mzize ni uzawa na wote tunajua jinsi gani kasumba ya kudharau wachezaji wazawa ilivyotutafuna wabongo.Kuna namna wenzetu wanavyochanganua mambo. Huyu Mzize anadharaulika kwa sababu ya Utanzania wake ila ana potential ya kuwa mshambuliaji hatari sana.
Muda utaongea.
Huko ukoloni kuna mchezaji ana profile ya kumfikia Kisinda?Mayele huyu tulimroga sababu hatukutaka aende mbwa yule. Kisinda hakujawahi kuwa na mchezaji pale
Ndio mkuu. Naomba hili dili lifanikiwe. Naamini ataimarika sana chiki ya kocha Rulani. Ni faida kwa Taifa.Kabisa ndugu, kinachofanya watu wamchukulie poa mzize ni uzawa na wote tunajua jinsi gani kasumba ya kudharau wachezaji wazawa ilivyotutafuna wabongo.
Mimi naamini angekuwa ni miongoni mwa hao wanaotoka west Africa, basi angeongelewa sana kwa wiki tatu mfululizo mpaka anauzwa na uhamisho wake ungekuwa ni suala la kujivunia sana kama ilivyokuwa kwa mayele.
We dogo kumbe mgeni kabisa na mpira? Unajua Kisinda alirudi Yanga? Yaani ukikaa na shemeji yako akiwa anamsimulia dada yako nawe unabeba kuja andika huku? 🤣Huko ukoloni kuna mchezaji ana profile ya kumfikia Kisinda?