Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si uende wewe huko Wydad kwani huna miguu?Hapo nia ni kumkomoa Mzize ili aendelee kumsujudia Hersi na chawa wake,nchi imejaa visokorokwinyo hii!
Yanga ina historia nene kwenye mambo ya kipuuzi. Ina utajiri mkubwa wa upumbavu.Kuna mwingine alidanganywa acheze dabi ndio ataruhusiwa Sasa hivi anacheza ndondo.
Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.Acha uongo, Ngasa aliuzwa kwenda Azam akiwa nyota wa Yanga na Mwenyekiti wa wakati uo Iman Madega, Yanga wame muuza Simon Msuva akiwa katika kuwa Mfungaji Bora, Yanga wali muuza Fiston kalala Mayele, Nonda shaabani, Athumani China, Nadir Haroub Cannavaro Vancuva white cap, Abdalah shaibu Ninja Vancuva White cap n.k
sema navyowajua yanga wasipotaka kuuza mchezaji hata ajae real madrid na euro 100mil,hawakuuziii...hapa mzize kama anataka kusepa basi aanzishe migomo hata ya kutokula kabisa asitegemee yanga watatishwa na hela ukubwa wa klabu wao kuuza uza sio mambo yao kabisa- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Huna unalo lijua, Kaangalie mahojiano ya Bakari Malima aliye ondoka na Nonda utaelewa kuliko kukurupuka. Yaani uingie Nchi ya watu bila vibali na uanze kucheza mpira professional, mambo ya kushangaza sana Kwa namna unavyo fikiri.Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
Unanibishia mimi?Huna unalo lijua, Kaangalie mahojiano ya Bakari Malima aliye ondoka na Nonda utaelewa kuliko kukurupuka. Yaani uingie Nchi ya watu bila vibali na uanze kucheza mpira professional, mambo ya kushangaza sana Kwa namna unavyo fikiri.
Naona unamionea sana wivu dada yangu kama vipi nenda na wewe mkapigwe three someMjukuu wangu sasa hapo wewe na dada yako mumuulize shemeji yako mkiwa wote chumbani atakujibu.
Aliondoka kama house boy eti? Ila mbumbumbu sijui mlilogwa na nani? so ICT alijitengenezea stationary?Nonda Shaaban hakuuzwa na Yanga. Alijiondokea tu walivyoenda South Africa. Kama taratibu zingefuatwa Yanga ingenufaika sana na Nonda ila kwa sababu ya upumbavu Nonda hakuinufaisha Yanga.
ICT ❌ ITC ✅Aliondoka kama house boy eti? Ila mbumbumbu sijui mlilogwa na nani? so ICT alijitengenezea stationary?
Mzize ile ninamba nyingine muda utazungumz.Kuna namna wenzetu wanavyochanganua mambo. Huyu Mzize anadharaulika kwa sababu ya Utanzania wake ila ana potential ya kuwa mshambuliaji hatari sana.
Muda utaongea.
Nonda alitoroka,walitakiwa wawili,mmoja alikua mtz,mtz aliogopa kuondoka,si unajua akili za kijamaa ile 1990s,ila yanga walitia ngumu,ilikua kawaida yao huko nyumaNonda Shabani alitoka Yanga na kwenda kucheza ligi ya Ufaransa unaesema Yanga haiuzi wachezaji huyo Papii ilikuaje?
20 mkuu Gen ZMzize ana miaka 22??
Kuna wakati lazima umvimbie yule anayejifanya mwamba.- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali ofa hiyo bila hata kuijadili.. Wakawaambia Wydad wanataka Tsh 2.7 Billion ndipo wamuachie Mzize ambaye aliongeza mkataba mpya.
Wydad wamerejea na ofa ya Tsh 1.7 Billion, Yanga wamekataa. Klabu hiyo ya Morocco imepanga kuja na ofa mpya ya mwisho
- Kilichowavutia Wydad kwa Mzize ni :
- Eneo analocheza limekuwa gumu kupata washambuliaji bora wenye uwezo, wameona potential kwa Clement Mzize.
Akiwa Afrika Kusini kocha wa Yanga SC, Gamondi alisema wana malengo ya kufanya vizuri katika ligi ya mabingwa hivyo mchezaji yoyote muhimu katika kikosi chao hataondoka labda yeye asiwepo.
- Umri wake mdogo.
- Uwezo wake uwanjani.
Yanga kuna uwezekano pia watakataa ofa ya tatu ya mwarabu[emoji3]
Kwahiyo wenye miguu wote wanacheza mpira! Kweli wewe msukule wa GSM!Sasa si uende wewe huko Wydad kwani huna miguu?