Yanga imepata wachezaji imepoteza team

Yanga imepata wachezaji imepoteza team

Simba kacheza mechi ngapi za CAF na Yanga kacheza mechi ngapi?

Simba ina wachezaji wangapi timu za Taifa na Yanga inayo wangapi?

Usifanye mchezo na fatigue, huwa ina disturb match fitness...
Yanga kacheza Mechi 4 lakini swali la msingi zina intensity gani?

Kwenye hizo 4 kumbuka 2 kacheza zote nyumbani

Na hata hatua ya pili alikutana na timu ndogo hilo mbona lipo wazi ofsa
 
Yanga kacheza Mechi 4 lakini swali la msingi zina intensity gani?

Kwenye hizo 4 kumbuka 2 kacheza zote nyumbani

Na hata hatua ya pili alikutana na timu ndogo hilo mbona lipo wazi ofsa
Kwahiyo unavyoona wewe timu Gani itaifunga yanga hapa tanzania
 
Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga
Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake

Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga
Waangalie haraka namna ya ku offload ego za wachezaji nje ya hapo safari ya kupoteza haiko mbali
Hii issue ya kulazimisha Chama aanze itaharibu malengo yote ya timu🚮🚮
 
Hii issue ya kulazimisha Chama aanze itaharibu malengo yote ya timu🚮🚮
Na imeondoa confidence ya kocha na baadhi ya wachezaji kama utaangalia body language ya kocha unaona hapendi ila hana namna
Binafsi chama alipaswa kuingia kwenye team kama sub maana team iliyopita ilikuwa sawa tu
 
Kabisa yan
 
Hata msimu uliopita team pinzani zilikuwa nzuri sana kmc walikuwa wanapambania top 4
Ndio tofauti na msimu huu sasa, zinazidi kupanda kwa ubora.
Huoni azam anavyokalishwa huoni timu karibu zote zinapata ushindi mwembaba na droo nyingi.
 
Kuandika kwanza hauwezi ndio maana nikakuuliza ushawahi kucheza mpira katika level ipi?
Tajuaje kuandika na wakati huku sisi yanga wenye akili wako wa 2 tu! Kama na wewe ni mwanayanga basi hujui kusoma
 
Walihongwa kina Manura, Chama, Baleke, Inonga & company.

Hukuona hao niliowataja baada ya mechi wakawa wanashangilia na wenzao Yanga huku kina Hussein na Kapombe wakilia kwa uchungu wenzao kuwasaliti.

Chama hadi alisimamishwa na uongozi baada ya mechi ile. Unadhani uongozi wa Simba ni wajinga hadi kuwatuhumu baadhi ya wachezaji?
Na zile 2 nani alihongwa?
 
Mimi ni Yanga nacho amin yanga yangu haifanyi vizuri kwa sababu ya makosa ya kibinadamu ya waamuzi yamepungua kwa kiasi kikubwa, sababu nyingine ni kuwa bonasi za GSM kwa baadhi ya team zimepungua kiasi ila soon bahasha zikirudi tutashuhudia pila letu la siku zote
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom