Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
23D636F0-1619-45B9-8DBB-A2A33B252453.jpeg
Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
 
Mimi ni gempongeza Ya ga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.

ANACHEZA NA WANAUME AKINA .

RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.

Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.


Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.

Mwenye akili afikiri
 
Ushauri wangu kwa Simba. Najua Yanga hata wasipochukua ndoo mwaka huu, mwakani watajilipua warudi huku huku Shirikisho maana wamegundua kuna uafadhali wa kutamba, basi Simba na wenyewe wajikondeshe zile hatua za mwanzo wadumbukie huku huku Shirikisho ili tupimane makali na hawa Uto maana dharau zimezidi.

Tahadhari: Kuna uwezekano miamba kama Raja itakuwepo Shirikisho mwakani kwa hiyo tusitegemee sana miteremko kama ya mwaka huu.
 
Back
Top Bottom