Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

Hii dhana ya "kufuta rekodi" ya mwingine kisa wewe umefikia hatua fulani nilishawaelimisha siku za nyuma ila kwa kuwa vichwa vyenu ndiyo hivyo tena, bado tupo hapa hapa tunalijadili hili.

Leo Norway akichukua Kombe la Dunia, utasema amefuta mafanikio yote ya Uholanzi?
Kwani nyie si ndio mnaojilanganisha kwa Africa mashariki ndio timu pekee iliyofanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa. Yanga amichukua kombe la CAF ndio itskuwa timu pekee kitoka Africa Mashariki kuchukua kombe la CAF confederation cup. Maana Gor Mahia waliwahi kuchukua kombe la cup winner's mwaka 1987 huko kabla ya kuundwa kwa Caf confederation cup
 
Yanga mwenzako ndiyo alileta uzi akisema Yanga ndiyo timu yenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati, watu ndiyo tukamkumbusha mafanikio ya Simba, Gor Mahia na TP Mazembe.

Na sijachoka kukuelimisha. Leo mkeka wa mafanikio ya Senegal kisoka ukiwekwa utaona juu kwenye list inatajwa kufika robo fainali ya Kombe la Dunia 2002 pamoja na kwamba Morocco amefikia Nusu Fainali 2022. Historia ya mafanikio ya timu haifutiki kwa sababu ya historia ya mafanikio ya wengine. Liweke hili kichwani na ulielewe.
 
Kuna record ya kikomo chako cha mafanikio halafu kuna kulinganishana. Hivi ni vitu viwili tofuati. Ukiingia kwenye profile ya timu fulani utaona stage yao ya mwisho kufikia katika ngazi ya kimataifa.

Ila inapokuja swala la ulinganifu wa timu ndipo linapokuja kauli ya kwamba katika ukanda fulani timu fulani ni bora kuliko timu zingine kwa kipindi fulani.

Unaposema timu ya Simba ni bora kuliko timu zote za Africa Mashariki hapo haujafuta record za timu bali umefanya ulinganifu ni lazima huo ulinganifu umefanyika kwa kuzingatia kigezo cha mafanikio kwa kipindi husika
 
Ok.
Fv3xc4SWcAoJQR0.jpg
 
Kwa hiyo unadhani msimu huu utakapoisha ukifanya tathmini ya miaka 5 ukanda huu wa Afrika Mashariki, hata kama Yanga akichukua shirikisho unadhani timu gani itakuwa juu katika ubora?

Nipe jibu fupi maana swali langu limetokana na post yako ya mwisho na linaeleweka.
 
Back
Top Bottom