Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

Mwakani Raja hatokuepo hata shirikisho ameshindwa kufuzu yupo nafasi ya tano kwenye ligi
 
Raja ni mwamba kwenu wengine wanamgonga
 
Thread inaihusu Yanga SC, lakini comment ~80+% Zinazungumzia Simba sc, Hivyo Simba sc ni jitu kubwaa saaana barani Africa.😳
 
Kwani msimu uliopita si mlikuwa mnacheza haya mashindano na katika timu ambazo ndio walikuwa wanawaonea ni Berkane, Orlando pirates, Tp Mazembe, Pyramids, n.k lakini hao waliokuwa wanawaoneea nyinyi huku kakutana na vyuma wote wametoka kabakia mmoja tu ambaye ni Asec mimosa pekee. Ingekuwa pakitoto si mngefika hata nusu tu.
 
Kwa hiyo sasa mnachukulia kufika nusu ndiyo kipimo cha mafanikio ila robo haina maana yoyote? Naona mmeshaanza kutupanga.
 
Kwa hiyo sasa mnachukulia kufika nusu ndiyo kipimo cha mafanikio ila robo haina maana yoyote? Naona mmeshaanza kutupanga.
Nachokimaanisha hamvuki kila siku mnaishia pale pale tu nakujisifia kwa kuishia hapo hapo. Kufika nusu kuona mafanikio hilo linawahusu nyie mnaoishia robo na kuona ndio mafanikio. Ila Yanga kwasasa wanaiafuta fainali
 
We ushawahi hata kumchubua tu? Na alipocheza na Simba nyie vidomodomo mlikuwa mnasemaje? Risiti tunazo.
Game ya Raja na Yanga hapa Dar mechi iliisha kwa sare ya tatu kwa tatu.
 
Nachokimaanisha hamvuki kila siku mnaishia pale pale tu nakujisifia kwa kuishia hapo hapo. Kufika nusu kuona mafanikio hilo linawahusu nyie mnaoishia robo na kuona ndio mafanikio. Ila Yanga kwasasa wanaiafuta fainali
Ila hapo anapokwamia Simba katika mashindano makubwa zaidi Afrika nyie hamjanusa hata hatua ya nyuma yake tu kwa robo karne sasa, unakumbuka hilo?

Kama kukwamia robo kwenye shirikisho ni mara moja tu imetokea na ni mwaka jana, hiyo ya kuishia hapo hapo unazungumzia ipi?

Tuongee kwa facts.
 
Vyovyote vile itakavyokuwa ila Yanga kama atabeba kombe la shirikisho atakuwa kafuta record zote za Simba kimafanikio. Simba watakuwa hawana kombe lolote lile la CAF zaidi ya kuishia njiani. Hivyo Yanga ombea asinyanyue kombe
 
Hii dhana ya "kufuta rekodi" ya mwingine kisa wewe umefikia hatua fulani nilishawaelimisha siku za nyuma ila kwa kuwa vichwa vyenu ndiyo hivyo tena, bado tupo hapa hapa tunalijadili hili.

Leo Norway akichukua Kombe la Dunia, utasema amefuta mafanikio yote ya Uholanzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…