Yanga imuuze Feitoto

Hilo la kuhusu dirisha nimeliongelea humo katika post yangu.

Hayo mengine tusubiri muda utaongea.
Uuze muda huu kwani dirisha lipo wazi?
Mwache aendelee kudanganywa na bush lawyers wake.
Nina hakika si muda mrefu atashitakiwa CAS Kwa kuitelekeza Klabu na atailipa Yanga mapesa makubwa sana
 
Basi mwacheni muone kama kuna timu haitamuhitaji! Dakika moja mnataka dau la milioni 500, dakika ya pili mnasema hakuna timu itakayomuhitaji.
 
Nmetolea mfano huo ambao ni rahisi turudi kwenye football kwahio wewe una amini mkataba wa Fei utaisha bila kuutimikia,? kama anataka akae nyumbani Yanga watamuuzia huo mkataba kwa pesa wanayo taka wao vinginevyo arudi kwenye timu yake ambayo sasa hivi anadaiwa miezi 3

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwani Feisal aliweka Tsh ngapi kwenye akaunt ya Yanga? Ndo huko huko m100. Yanga labda kama wanataka kutuma ujumbe kwa wachezaji wengine.
Wewe umeliweka sawa, mimi nilikuwa naihesabia ile ya kuvunja mkataba kama milioni 110 hivi na milioni 100 nyingine ya transfer ila nimegundua alivyowapa ile ya mwanzo ndiyo ilikuwa imetoka hiyo.

Sasa wana tamaa wanadhani wanaweza kumuuza milioni 500!
 
Reactions: Tsh
Anahamaje timu kwa stahili iyo? Feisal mpaka sasa anahesabika ni mtoro kwasababu aonekani kwenye kituo chake cha kazi, kwa mantiki iyo adhabu za utoro kazini zitafata mkondo wake,
 
Uliona wapi mchezaji anauzwa kwa staili uloandika hapo?

Yaani mchezaji wako alafu unazifwata timu kuziuliza kama zinamtaka😂
Bwa mdogo mambo ya professional sports hauyajui vizuri. Kaa ujifunze.
 
Anahamaje timu kwa stahili iyo? Feisal mpaka sasa anahesabika ni mtoro kwasababu aonekani kwenye kituo chake cha kazi, kwa mantiki iyo adhabu za utoro kazini zitafata mkondo wake,
Lini zitafuata mkondo wake. Mara ya mwisho kuwa kambini ni lini? Mbona hata onyo hamjatoa?
 
Najua suluhisho litapatikana na maisha yataendelea ila siyo kwa jinsi unavyodhani wewe.

Pia kumbukeni ile hadithi katika Biblia ya yule mtu aliyempigia magoti na kumuomba tajiri amsamehe deni analomdai na baada ya kusamehewa yule mtu aliyesamehewa akatoka akakutana na mtu mwingine ambaye yeye anamdai, akaanza kung'aka akidai deni lake. Yule tajiri kusikia alichofanya jamaa, naye akadai deni alilokuwa ameshalisamehe.

Fimbo mnayompigia Feisal na nyie SportPesa atakuja kuwapigia.
 
Kwa mchezaji aliyebakisha mwaka 1 aondoke bure na mkataba wa m4 kwa mwezi? Ts possible ila ngumu.
 
Habari za Sportpesa ni za kwenu na Jemedari

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja. Auzwe tu ili maisha yaendelee. Binafsi nimeshachoshwa na habari zake.
 
Naunga mkono hoja. Auzwe tu ili maisha yaendelee. Binafsi nimeshachoshwa na habari zake.
Eti, zimejaa nyuzi za ugali na sukari tunashindwa hata kujadili habari za kipigo cha mbwa koko atakachopata Vipers J4 🤣😂🤣
 
Walishamtangaza. Rejea matangazo waliyowahi kuyatoa mwaka jana
 
Akae nje iwe fundisho kwa wengine...
 
Hakuna mkataba ambao hauvunjwi. Nashangaa hiyo clause watu hawakizungumzii.
 
Namaanisha kumuuza bei kubwa inawezekana ila si rahisi sababu ya muda wa mkataba wake uliobaki.
Hayo hawa mashabiki maandazi hata hawayazingatii. Wanajitajia tu milioni 500 na cha ajabu wanaamini kabisa wanaweza kuipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…