Yanga imuuze Feitoto

Yanga imuuze Feitoto

Hilo la kuhusu dirisha nimeliongelea humo katika post yangu.

Hayo mengine tusubiri muda utaongea.
Uuze muda huu kwani dirisha lipo wazi?
Mwache aendelee kudanganywa na bush lawyers wake.
Nina hakika si muda mrefu atashitakiwa CAS Kwa kuitelekeza Klabu na atailipa Yanga mapesa makubwa sana
 
Umeandika kama hauna akili timamu vile, Hapo nani anayeonekana kupoteza kati ya Yanga na mtoto mdogo Fey? Mtu yupo ndani ya mkataba eti unasema Yanga atapoteza? Tena kwa taarifa yako kwa tabia na mwenendo aliouonyesha kijana ndiye aliyejishusha soko maana hakuna club itamhitaji!
Basi mwacheni muone kama kuna timu haitamuhitaji! Dakika moja mnataka dau la milioni 500, dakika ya pili mnasema hakuna timu itakayomuhitaji.
 
Mfano wako haufananii na kile tunachoongelea hapa. Hauwezi kufananisha mkataba wa ujenzi wa daraja na mkataba wa soka, muundo na vipengele vyake vinatofautiana sana.

Nikikupa mfano mmoja. Ujenzi wa daraja una hali mbili ambazo ni kawaida kutokea, mkandarasi anaweza kumaliza ujenzi kabla au baada ya muda wa mkataba na kuna vipengele vinatakiwa kuongelea hali kama hizo zilitokea itakuwaje, kitu ambacho kwenye mkataba wa soka hakiwezi kuwepo.

Boresha mfano wako.
Nmetolea mfano huo ambao ni rahisi turudi kwenye football kwahio wewe una amini mkataba wa Fei utaisha bila kuutimikia,? kama anataka akae nyumbani Yanga watamuuzia huo mkataba kwa pesa wanayo taka wao vinginevyo arudi kwenye timu yake ambayo sasa hivi anadaiwa miezi 3

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwani Feisal aliweka Tsh ngapi kwenye akaunt ya Yanga? Ndo huko huko m100. Yanga labda kama wanataka kutuma ujumbe kwa wachezaji wengine.
Wewe umeliweka sawa, mimi nilikuwa naihesabia ile ya kuvunja mkataba kama milioni 110 hivi na milioni 100 nyingine ya transfer ila nimegundua alivyowapa ile ya mwanzo ndiyo ilikuwa imetoka hiyo.

Sasa wana tamaa wanadhani wanaweza kumuuza milioni 500!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataba ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Feisal hayuko nyumbani akisubiri mkataba uishe, anataka kuhama timu akacheze kwingine.
Anahamaje timu kwa stahili iyo? Feisal mpaka sasa anahesabika ni mtoro kwasababu aonekani kwenye kituo chake cha kazi, kwa mantiki iyo adhabu za utoro kazini zitafata mkondo wake,
 
Uliona wapi mchezaji anauzwa kwa staili uloandika hapo?

Yaani mchezaji wako alafu unazifwata timu kuziuliza kama zinamtaka😂
Bwa mdogo mambo ya professional sports hauyajui vizuri. Kaa ujifunze.
 
Anahamaje timu kwa stahili iyo? Feisal mpaka sasa anahesabika ni mtoro kwasababu aonekani kwenye kituo chake cha kazi, kwa mantiki iyo adhabu za utoro kazini zitafata mkondo wake,
Lini zitafuata mkondo wake. Mara ya mwisho kuwa kambini ni lini? Mbona hata onyo hamjatoa?
 
Nmetolea mfano huo ambao ni rahisi turudi kwenye football kwahio wewe una amini mkataba wa Fei utaisha bila kuutimikia,? kama anataka akae nyumbani Yanga watamuuzia huo mkataba kwa pesa wanayo taka wao vinginevyo arudi kwenye timu yake ambayo sasa hivi anadaiwa miezi 3

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Najua suluhisho litapatikana na maisha yataendelea ila siyo kwa jinsi unavyodhani wewe.

Pia kumbukeni ile hadithi katika Biblia ya yule mtu aliyempigia magoti na kumuomba tajiri amsamehe deni analomdai na baada ya kusamehewa yule mtu aliyesamehewa akatoka akakutana na mtu mwingine ambaye yeye anamdai, akaanza kung'aka akidai deni lake. Yule tajiri kusikia alichofanya jamaa, naye akadai deni alilokuwa ameshalisamehe.

Fimbo mnayompigia Feisal na nyie SportPesa atakuja kuwapigia.
 
Wewe umeliweka sawa, mimi nilikuwa naihesabia ile ya kuvunja mkataba kama milioni 110 hivi na milioni 100 nyingine ya transfer ila nimegundua alivyowapa ile ya mwanzo ndiyo ilikuwa imetoka hiyo.

Sasa wana tamaa wanadhani wanaweza kumuuza milioni 500!
Kwa mchezaji aliyebakisha mwaka 1 aondoke bure na mkataba wa m4 kwa mwezi? Ts possible ila ngumu.
 
Najua suluhisho litapatikana na maisha yataendelea ila siyo kwa jinsi unavyodhani wewe.

Pia kumbukeni ile hadithi katika Biblia ya yule mtu aliyempigia magoti na kumuomba tajiri amsamehe deni analomdai na baada ya kusamehewa yule mtu aliyesamehewa akatoka akakutana na mtu mwingine ambaye yeye anamdai, akaanza kung'aka akidai deni lake. Yule tajiri kusikia alichofanya jamaa, naye akadai deni alilokuwa ameshalisamehe.

Fimbo mnayompigia Feisal na nyie SportPesa atakuja kuwapigia.
Habari za Sportpesa ni za kwenu na Jemedari

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja. Auzwe tu ili maisha yaendelee. Binafsi nimeshachoshwa na habari zake.
 
Naunga mkono hoja. Auzwe tu ili maisha yaendelee. Binafsi nimeshachoshwa na habari zake.
Eti, zimejaa nyuzi za ugali na sukari tunashindwa hata kujadili habari za kipigo cha mbwa koko atakachopata Vipers J4 🤣😂🤣
 
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa
Walishamtangaza. Rejea matangazo waliyowahi kuyatoa mwaka jana
 
Akae nje iwe fundisho kwa wengine...
 
Hakuna mkataba ambao hauvunjwi. Nashangaa hiyo clause watu hawakizungumzii.
 
Namaanisha kumuuza bei kubwa inawezekana ila si rahisi sababu ya muda wa mkataba wake uliobaki.
Hayo hawa mashabiki maandazi hata hawayazingatii. Wanajitajia tu milioni 500 na cha ajabu wanaamini kabisa wanaweza kuipata.
 
Back
Top Bottom