dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
hapo ndipo wanapopatafuta yanga na ndipo anapopakwepa fei ila sio kama wanaodai kwamba yanga wanamng'ang'ania fei kucheza1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga
2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe
3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani
4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji
Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa