Yanga imuuze Feitoto

Yanga imuuze Feitoto

1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa
hapo ndipo wanapopatafuta yanga na ndipo anapopakwepa fei ila sio kama wanaodai kwamba yanga wanamng'ang'ania fei kucheza
 
Yanga kumuuza Feisal watafanya kwa shingo upande tu ndiyo maana kuna watu wanataja pesa za ajabu za milioni 500 ili tu hilo lisiwezekane.

Unajustify vipi mchezaji uliyekuwa unamlipa mshahara wa milioni 4 kwa mwezi kutaka kumuuza milioni 500? Thamani ya mchezaji inaanzia na jinsi unavyomlipa wewe.
 
Unajua baada ya ushindi wa Yanga(With assumption that Fei will cease fire) kuna jambo moja tu nalisubiri kuhitimisha huu mpambano.

Yanga watamfanya nn Fei? Ni mchezaji wao ambae ameonyesha utomvu wa nidhamu na walikataa pesa zake. JE?

1. Kuna pesa wanazitegemea zaidi ya zile?
2. Wanataka kumshawishi acheze soka Yanga?
3. Wanataka kumtumia kufundisha wengine nidhamu kwa kumpa adhabu kwa jaribio la kuvunja mkataba?
4. Wanataka akae tu huku wanamlipa wakiombea kiwango kishuke?
5. Hawajajua bado wanachotaka?

Nasubiri niuone mwisho.
 
Points muhimu umezileta ili kujua ufikiri wao ukoje.

Naamini bado wamepigwa na butwaa kwa kilichotokea kwa hiyo nadhani point ya 5 ndiyo hasa ya kwanza ndiyo maana misimamo yao imejaa mkanganyiko.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kijana anapotea very sad kwa huungwana tu akae chini na uongozi wa yanga wayamalize then atoke public awaombe msamaa wanayanga nafikili yanga watamsamehe na watamwachia aende uko aendako bila kujali nani mwenye haki kwa mambo yalipofikia feisal ndio wa kuwa mpole hili mambo yake yaende yeye ndio anaumia yanga mambo yao yanaenda tu yake yamekwama anasomesha, anafamilia majukumu tele feisal achutame tu yaishe waandishi wanamjaza lakini hao ndio watakiwa wa kwanza kumtangaza vibaya kesho akiachana na soka na kuanza kuuza mishikaki!!
 
Points muhimu umezileta ili kujua ufikiri wao ukoje.

Naamini bado wamepigwa na butwaa kwa kilichotokea kwa hiyo nadhani point ya 5 ndiyo hasa ya kwanza ndiyo maana misimamo yao imejaa mkanganyiko.
Haha ngoja tuone.
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa.
Mkuu hebu nifafanulie hapo kwenye bold
 
Una muuzia nani? Yanga wamekataa kumuuza?? Ulipeleka dau Yanga wakakataa??
Maswali yako hayana majibu. Mimi nimechoshwa na habari zake, kama shabiki wa Yanga.

Sasa unataka nipeleke dau la kumnunua huyo Fei Toto, ili nimpeleke wapi?
 
Mkuu hebu nifafanulie hapo kwenye bold
Wakivuta muda hadi mkataba uishe si atakuwa mchezaji huru kwa hiyo ataweza kwenda popote bila hiyo timu kuhitaji kuilipa Yanga chochote?

Wanadhani eti watambana hata mkataba utakapofikia ukomo aendelee kubaki Yanga kwa kuwa hakutekeleza matakwa ya mkataba. Muda ukiisha umeisha, wanaweza kumdai fidia na mambo kama hayo ila hawataweza kumng'ang'ania abaki.
 
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataba ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Feisal hayuko nyumbani akisubiri mkataba uishe, anataka kuhama timu akacheze kwingine.
kuna watu mnachekesha kwahiyo kuhama timu anaamua yeye?, Hivi huu ujinga huwa mnatoa wapi?. Kwa taarifa yako toka maamzi ya review ya jana leo yanga wanapaswa kumuandikia barua ya kurudi kibaruani aidha anataka au hataki, yanga haiwezi kumuuza Wala kuvunja mkataba wake chin ya 500M sababu kubwa ameonesha jeur na dharau pia imetambua aliyenyuma yake... Kwahiyo usitegemee la kuachiwa kirahisi.
 
Hili dau la 500m linatajwa tajwa sana. Ni dau official au la mashabiki?
 
kuna watu mnachekesha kwahiyo kuhama timu anaamua yeye?, Hivi huu ujinga huwa mnatoa wapi?. Kwa taarifa yako toka maamzi ya review ya jana leo yanga wanapaswa kumuandikia barua ya kurudi kibaruani aidha anataka au hataki, yanga haiwezi kumuuza Wala kuvunja mkataba wake chin ya 500M sababu kubwa ameonesha jeur na dharau pia imetambua aliyenyuma yake... Kwahiyo usitegemee la kuachiwa kirahisi.
Hivi hiyo milioni 500 mnayoitajataja mnaitoa wapi? Mayele mwenyewe hauziki milioni 500.

Hiyo barua mnasubiri nini kumuandikia, hukumu si ilishatoka kitambo, jana ilikuwa ni review tu? Wote tunasubiri hiyo barua ili toeni kweli mnaamini huyu ni mchezaji wenu.
 
Maswali yako hayana majibu. Mimi nimechoshwa na habari zake, kama shabiki wa Yanga.

Sasa unataka nipeleke dau la kumnunua huyo Fei Toto, ili nimpeleke wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unapolilia wamuuze wamuuzie nani????
 
Wakivuta muda hadi mkataba uishe si atakuwa mchezaji huru kwa hiyo ataweza kwenda popote bila hiyo timu kuhitaji kuilipa Yanga chochote?

Wanadhani eti watambana hata mkataba utakapofikia ukomo aendelee kubaki Yanga kwa kuwa hakutekeleza matakwa ya mkataba. Muda ukiisha umeisha, wanaweza kumdai fidia na mambo kama hayo ila hawataweza kumng'ang'ania abaki.
Huo nadhani ni mtazamo wako binafsi mkuu. Sina uhakika kama Yanga wanataka kurun down mkataba wa Fei . Na kama Yanga wakisema wakomae hadi mkataba uishe ili aondoke Bure, haitokuwa fair, na atakayeumia ni Fei, maana atakuwa nje kwa muda mrefu.

Nasubiria kuona ni hatua gani zitachukuliwa na pande zote mbili, baada ya hii review. Ila waliomshauri kama kweli walikuwa na nia ya dhati,basi huu ndio wakati sahihi wakujadiliana na Yanga rasmi.
 
Back
Top Bottom