SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Siyo nyingi kama mnavyodhani. Mtakachofanikiwa ni kuteteresha tu kipaji chake ila pesa mtakayopata ni kama ile ile tu ambayo mngeipata sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo nyingi kama mnavyodhani. Mtakachofanikiwa ni kuteteresha tu kipaji chake ila pesa mtakayopata ni kama ile ile tu ambayo mngeipata sasa.
Hoja ya msingi ni kuwa amewashtukiza na kuwaumiza. Mnajipa ukubwa ambao hamna.Hoja ya msingi ni mkataba Mambo ya muunganiko ni swala kitaalam ambalo inapokuja nafasi yake kwa wataalamu hashindwi kuleta muunganiko... Leo ni zaidi ya mechi 10+ hayupo kikosini timu inafanya vizuri Sasa bado unataka muunganiko wakukatika viuno?. Kuondoka kwake yanga haiwezi kuathirika, yanga ni taasisi kubwa hiwezi kutegemea mchezazaji mmoja. Feisal aliihitaji yanga kuliko yanga inavyomhitaji yeye. Asubihi nimesikiliza mchambuzi mmoja wa S.Afrika akisema Tz wachezaji hawana elimu ndio maana hawajui wafanye nini?. Hivi kwa akili zako timamu unaweza kumuomba ushaur et Fatuma karume 😅😅..
Jibu kwa njia ya swali huijui?Shida yako una kichwa kigumu unaleta swali juu ya swali hoja yangu ni "ni kwa namna gani mkataba unaisha vipi bila kutumika" ? usilete story nyingi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna anayoupenda unakuja wenyeweMnavyopenda udingi
Bro una Matatizo ya mfumo wa umeme katika Ubongo wako. Nakushauri nenda CCBRT ukapate matibabu.Si walikuwa wanamlipa 3m kwa mwezi..kawapa chao hawataki...uto bana.
mfano wake uko clear kabisa, uwez kuwa na mkataba sehemu kisa wewe uhitaji kuendelea kuwepo katika eneo lako la kazi ,et ukae nyumbn mpaka mkataba wako uishe uondoke ,unazan mwajili wako atakubali anamkataba na wewe afu ukae nyumbn tu nae alidhike?Mfano wako haufananii na kile tunachoongelea hapa. Hauwezi kufananisha mkataba wa ujenzi wa daraja na mkataba wa soka, muundo na vipengele vyake vinatofautiana sana.
Nikikupa mfano mmoja. Ujenzi wa daraja una hali mbili ambazo ni kawaida kutokea, mkandarasi anaweza kumaliza ujenzi kabla au baada ya muda wa mkataba na kuna vipengele vinatakiwa kuongelea hali kama hizo zilitokea itakuwaje, kitu ambacho kwenye mkataba wa soka hakiwezi kuwepo.
Boresha mfano wako.
Kwa hiyo mkandarasi akigoma kujenga, serikali itatuma jeshi kwenda kumlazimisha ajenge au itavunja mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine? Mambo mengine simple tu kuyaelewa, sijui tatizo ni nini.mfano wake uko clear kabisa, uwez kuwa na mkataba sehemu kisa wewe uhitaji kuendelea kuwepo katika eneo lako la kazi ,et ukae nyumbn mpaka mkataba wako uishe uondoke ,unazan mwajili wako atakubali anamkataba na wewe afu ukae nyumbn tu nae alidhike?
Lejea case ya lewandoski wakati anahitaji kuondoka Bayern, alikuwa analazimisha lakin mazoezi alikuwa anahudhuria kama kawaida ,na mkurugenzi wa Bayern alisema lewa aondoki end of the day si aliondoka ,kwa kufuata utaratibu,
mkandalasi akikataa kujenga,mtoa tenda ata mshitaki kwa kutokueshimu mkataba na kuchelewesha kukamilika kwa mradi,hapo ndio mkandarasi atafidia tenda hiyo,au kumaliza tenda kwa muda. Atakao amuliwa na mahakama kwa gharama zake mwenyewe, ,sasa kwenye kufidia ndio atajua kulikuwa na umuhimu gani kufuata mkataba,Kwa hiyo mkandarasi akigoma kujenga, serikali itatuma jeshi kwenda kumlazimisha ajenge au itavunja mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine? Mambo mengine simple tu kuyaelewa, sijui tatizo ni nini.
Wasikilize wataalamu watakwambia Feisal adhabu yake ilikuwa kifungo cha miezi 3-4, na kulipishwa fine na kwa kuwa mchezaji mwenyewe mnamlipa mshahara kiduchu, ni fidia ndogo sana mtapata. Hili ndiyo linaenda kutokea, mengine ni kupotezeana muda tu.
Funzo kweni ni kuwa lipeni watu vizuri ili kuvunja mkataba kuwe ni gharama kubwa kwao.
una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?Kwa hiyo mkandarasi akigoma kujenga, serikali itatuma jeshi kwenda kumlazimisha ajenge au itavunja mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine? Mambo mengine simple tu kuyaelewa, sijui tatizo ni nini.
Wasikilize wataalamu watakwambia Feisal adhabu yake ilikuwa kifungo cha miezi 3-4, na kulipishwa fine na kwa kuwa mchezaji mwenyewe mnamlipa mshahara kiduchu, ni fidia ndogo sana mtapata. Hili ndiyo linaenda kutokea, mengine ni kupotezeana muda tu.
Funzo kwenu ni kuwa lipeni watu vizuri ili kuvunja mkataba kuwe ni gharama kubwa kwao.
Unadhani kuna mkandarasi anayehitaji kufundishwa umuhimu wa kufuata mkataba? Suala ni kuwa amekiuka mkataba, na amekaidia kuendelea nao, kinachobaki ni mkataba unavunjwa na fidia inadaiwa.mkandalasi akikataa kujenga,mtoa tenda ata mshitaki kwa kutokueshimu mkataba na kuchelewesha kukamilika kwa mradi,hapo ndio mkandarasi atafidia tenda hiyo,au kumaliza tenda kwa muda. Atakao amuliwa na mahakama kwa gharama zake mwenyewe, ,sasa kwenye kufidia ndio atajua kulikuwa na umuhimu gani kufuata mkataba,
ndio hapo sasa gharama za fidia zikiamliwa je mkandarasi atakuwa tayari na uwezo wa kuzilipaUnadhani kuna mkandarasi anayehitaji kufundishwa umuhimu wa kufuata mkataba? Suala ni kuwa amekiuka mkataba, na amekaidia kuendelea nao, kinachobaki ni mkataba unavunjwa na fidia inadaiwa.
Kwa mfano huo wa ujenzi, mara nyingi mkataba unavunjwa tu bila fidia kudaiwa maana tayari inakuwa ni hasara kwa mkandarasi.
Sasa unaporudia maneno yangu sielewi tunatofautiana wapi hasa.
Wanachokisema ni sahihi. Kumbuka jambo la msingi kabisa ni kuwa hauwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi na wewe kama hataki. Watu wanamkatalia hadi Rais wa nchi bwana isitoshe mchezaji wa mpira?una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?
Nazan hilo swala tuwaachie yanga ,tff na fei na wanasheria wao
watalimaliza wenyewe, fei akiona kuna umuhimu wa kwenda CAS it's ok,aende,akapate haki yake,akiona alidai yanga waongee jinsi ya kufanya transfer yake its ok,akiona asiende popote akae zake hom mpaka kieleweke its ok,
Zaid sisi tunapiga domo tu
Unajua vigezo vitakavyotumika kuangalia gharama za fidia?ndio hapo sasa gharama za fidia zikiamliwa je mkandarasi atakuwa tayari na uwezo wa kuzilipa
una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?
Nazan hilo swala tuwaachie yanga ,tff na fei na wanasheria wao
watalimaliza wenyewe, fei akiona kuna umuhimu wa kwenda CAS it's ok,aende,akapate haki yake,akiona alidai yanga waongee jinsi ya kufanya transfer yake its ok,akiona asiende popote akae zake hom mpaka kieleweke its ok,
Zaid sisi tunapiga domo tu
Ndiyo maana Yanga wana cha kupata zaidi kwa kujaribu kumuuza Feisal kuliko kusubiri fidia ingawa kwa jinsi siku zinavyokwenda na mkataba unaenda kufikia ukingoni, hata hiyo fursa inazidi kuwa ndogo.Wanachokisema ni sahihi. Kumbuka jambo la msingi kabisa ni kuwa hauwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi na wewe kama hataki. Watu wanamkatalia hadi Rais wa nchi bwana isitoshe mchezaji wa mpira?
Kinachowaponza Yanga na hata kuwauma ni kuwa gharama za fidia wanazotegemea kupata ni ndogo sana kutokana na vigezo vinavyotumika kuangalia. Ingekuwa hao kina Aziz Ki na Mayele, gharama zingekuwa juu zaidi.
Wakumbushe mods waunganishe nyuzi hizi za Feisal maana na mimi nimechoka kuziona.
Sasa unataka Yanga wamuuze wapi wakati hakuna mteja anayemuhitaji?Maswali yako hayana majibu. Mimi nimechoshwa na habari zake, kama shabiki wa Yanga.
Sasa unataka nipeleke dau la kumnunua huyo Fei Toto, ili nimpeleke wapi?
Wambane bwege yule na asipangwe kikosini Hadi anyooke.Yeye analeta utoto wake na uzanzibar kisha yeye na mama yake wanaanza kulia Lia kuomba huruma! Inabidi atambue kwamba Sasa ni mtu mzima.kuna watu mnachekesha kwahiyo kuhama timu anaamua yeye?, Hivi huu ujinga huwa mnatoa wapi?. Kwa taarifa yako toka maamzi ya review ya jana leo yanga wanapaswa kumuandikia barua ya kurudi kibaruani aidha anataka au hataki, yanga haiwezi kumuuza Wala kuvunja mkataba wake chin ya 500M sababu kubwa ameonesha jeur na dharau pia imetambua aliyenyuma yake... Kwahiyo usitegemee la kuachiwa kirahisi.
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga
2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe
3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani
4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji
Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa