Yanga imuuze Feitoto

Yanga imuuze Feitoto

Hoja ya msingi ni mkataba Mambo ya muunganiko ni swala kitaalam ambalo inapokuja nafasi yake kwa wataalamu hashindwi kuleta muunganiko... Leo ni zaidi ya mechi 10+ hayupo kikosini timu inafanya vizuri Sasa bado unataka muunganiko wakukatika viuno?. Kuondoka kwake yanga haiwezi kuathirika, yanga ni taasisi kubwa hiwezi kutegemea mchezazaji mmoja. Feisal aliihitaji yanga kuliko yanga inavyomhitaji yeye. Asubihi nimesikiliza mchambuzi mmoja wa S.Afrika akisema Tz wachezaji hawana elimu ndio maana hawajui wafanye nini?. Hivi kwa akili zako timamu unaweza kumuomba ushaur et Fatuma karume 😅😅..
Hoja ya msingi ni kuwa amewashtukiza na kuwaumiza. Mnajipa ukubwa ambao hamna.
 
Si walikuwa wanamlipa 3m kwa mwezi..kawapa chao hawataki...uto bana.
Bro una Matatizo ya mfumo wa umeme katika Ubongo wako. Nakushauri nenda CCBRT ukapate matibabu.
 
Mfano wako haufananii na kile tunachoongelea hapa. Hauwezi kufananisha mkataba wa ujenzi wa daraja na mkataba wa soka, muundo na vipengele vyake vinatofautiana sana.

Nikikupa mfano mmoja. Ujenzi wa daraja una hali mbili ambazo ni kawaida kutokea, mkandarasi anaweza kumaliza ujenzi kabla au baada ya muda wa mkataba na kuna vipengele vinatakiwa kuongelea hali kama hizo zilitokea itakuwaje, kitu ambacho kwenye mkataba wa soka hakiwezi kuwepo.

Boresha mfano wako.
mfano wake uko clear kabisa, uwez kuwa na mkataba sehemu kisa wewe uhitaji kuendelea kuwepo katika eneo lako la kazi ,et ukae nyumbn mpaka mkataba wako uishe uondoke ,unazan mwajili wako atakubali anamkataba na wewe afu ukae nyumbn tu nae alidhike?
Lejea case ya lewandoski wakati anahitaji kuondoka Bayern, alikuwa analazimisha lakin mazoezi alikuwa anahudhuria kama kawaida ,na mkurugenzi wa Bayern alisema lewa aondoki end of the day si aliondoka ,kwa kufuata utaratibu,
 
Kwa hiyo mkandarasi akigoma kujenga, serikali itatuma jeshi kwenda kumlazimisha ajenge au itavunja mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine? Mambo mengine simple tu kuyaelewa, sijui tatizo ni nini.

Wasikilize wataalamu watakwambia Feisal adhabu yake ilikuwa kifungo cha miezi 3-4, na kulipishwa fine na kwa kuwa mchezaji mwenyewe mnamlipa mshahara kiduchu, ni fidia ndogo sana mtapata. Hili ndiyo linaenda kutokea, mengine ni kupotezeana muda tu.

Funzo kwenu ni kuwa lipeni watu vizuri ili kuvunja mkataba kuwe ni gharama kubwa kwao.
 
Funzo kweni ni kuwa lipeni watu vizuri ili kuvunja mkataba kuwe ni gharama kubwa kwao.
mkandalasi akikataa kujenga,mtoa tenda ata mshitaki kwa kutokueshimu mkataba na kuchelewesha kukamilika kwa mradi,hapo ndio mkandarasi atafidia tenda hiyo,au kumaliza tenda kwa muda. Atakao amuliwa na mahakama kwa gharama zake mwenyewe, ,sasa kwenye kufidia ndio atajua kulikuwa na umuhimu gani kufuata mkataba,
 
Kwa hiyo mkandarasi akigoma kujenga, serikali itatuma jeshi kwenda kumlazimisha ajenge au itavunja mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine? Mambo mengine simple tu kuyaelewa, sijui tatizo ni nini.

Wasikilize wataalamu watakwambia Feisal adhabu yake ilikuwa kifungo cha miezi 3-4, na kulipishwa fine na kwa kuwa mchezaji mwenyewe mnamlipa mshahara kiduchu, ni fidia ndogo sana mtapata. Hili ndiyo linaenda kutokea, mengine ni kupotezeana muda tu.

Funzo kwenu ni kuwa lipeni watu vizuri ili kuvunja mkataba kuwe ni gharama kubwa kwao.
una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?
Nazan hilo swala tuwaachie yanga ,tff na fei na wanasheria wao
watalimaliza wenyewe, fei akiona kuna umuhimu wa kwenda CAS it's ok,aende,akapate haki yake,akiona alidai yanga waongee jinsi ya kufanya transfer yake its ok,akiona asiende popote akae zake hom mpaka kieleweke its ok,
Zaid sisi tunapiga domo tu
 
hii kesi tff ishawashindaa wanasheria wakate rufaa iende fifa tu ila FEI ajipange kulipaa helaaa nyingi ambazo azam sidhani kama watakuwa tayari kuzitoa. Mwisho wa siku yanga nao wajue muda unazidi kwenda kipaji hakina gurantee azam wakimkatia tamaa dogoo means fei atabaki yanga na yeye yanga hataki kucheza na kiufupi itabdi waendelee KUMLIPA MSHAHARA maana bado inahesabika ni mchezaji wao labda fei asiwe anaenda mazoezini na akatae kucheza hapo sasa itakuwa ni UPUMBAVU WAKE maana hili jambo lishakuwa gumu kwake aache tamaa.
 
Alichokifanya Fei ni utoto kama jina lake tu.
 
mkandalasi akikataa kujenga,mtoa tenda ata mshitaki kwa kutokueshimu mkataba na kuchelewesha kukamilika kwa mradi,hapo ndio mkandarasi atafidia tenda hiyo,au kumaliza tenda kwa muda. Atakao amuliwa na mahakama kwa gharama zake mwenyewe, ,sasa kwenye kufidia ndio atajua kulikuwa na umuhimu gani kufuata mkataba,
Unadhani kuna mkandarasi anayehitaji kufundishwa umuhimu wa kufuata mkataba? Suala ni kuwa amekiuka mkataba, na amekaidia kuendelea nao, kinachobaki ni mkataba unavunjwa na fidia inadaiwa.

Kwa mfano huo wa ujenzi, mara nyingi mkataba unavunjwa tu bila fidia kudaiwa maana tayari inakuwa ni hasara kwa mkandarasi.

Sasa unaporudia maneno yangu sielewi tunatofautiana wapi hasa.
 
ndio hapo sasa gharama za fidia zikiamliwa je mkandarasi atakuwa tayari na uwezo wa kuzilipa
 
una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?
Nazan hilo swala tuwaachie yanga ,tff na fei na wanasheria wao
watalimaliza wenyewe, fei akiona kuna umuhimu wa kwenda CAS it's ok,aende,akapate haki yake,akiona alidai yanga waongee jinsi ya kufanya transfer yake its ok,akiona asiende popote akae zake hom mpaka kieleweke its ok,
Zaid sisi tunapiga domo tu
Wanachokisema ni sahihi. Kumbuka jambo la msingi kabisa ni kuwa hauwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi na wewe kama hataki. Watu wanamkatalia hadi Rais wa nchi bwana isitoshe mchezaji wa mpira?

Kinachowaponza Yanga na hata kuwauma ni kuwa gharama za fidia wanazotegemea kupata ni ndogo sana kutokana na vigezo vinavyotumika kuangalia. Ingekuwa hao kina Aziz Ki na Mayele, gharama zingekuwa juu zaidi.

Wakumbushe mods waunganishe nyuzi hizi za Feisal maana na mimi nimechoka kuziona.
 
Unajua vigezo vitakavyotumika kuangalia gharama za fidia?

Kama nilivyokwambia, Serikali ikitishia au ikiamua kuvunja mkataba wa ujenzi tayari inakuwa ni hasara kwa mkandarasi. Sana sana atakayekuwa anajaribu kufidiwa ni mkandarasi na si Serikali. Serikali haihitaji kudai fidia kwa hali kama hiyo maana watakachofanya ni kutafuta mkandarasi mwingine ili ujenzi uanze, uendelee au ukamilike. Ndiyo maana nimewaambia huu mfano wenu haufai kutumika hapa.
 
una uhakika na hao wanasheria wanachokisema ni sahihi?
Nazan hilo swala tuwaachie yanga ,tff na fei na wanasheria wao
watalimaliza wenyewe, fei akiona kuna umuhimu wa kwenda CAS it's ok,aende,akapate haki yake,akiona alidai yanga waongee jinsi ya kufanya transfer yake its ok,akiona asiende popote akae zake hom mpaka kieleweke its ok,
Zaid sisi tunapiga domo tu

Wanachokisema ni sahihi. Kumbuka jambo la msingi kabisa ni kuwa hauwezi kumlazimisha mtu kufanya kazi na wewe kama hataki. Watu wanamkatalia hadi Rais wa nchi bwana isitoshe mchezaji wa mpira?

Kinachowaponza Yanga na hata kuwauma ni kuwa gharama za fidia wanazotegemea kupata ni ndogo sana kutokana na vigezo vinavyotumika kuangalia. Ingekuwa hao kina Aziz Ki na Mayele, gharama zingekuwa juu zaidi.

Wakumbushe mods waunganishe nyuzi hizi za Feisal maana na mimi nimechoka kuziona.
Ndiyo maana Yanga wana cha kupata zaidi kwa kujaribu kumuuza Feisal kuliko kusubiri fidia ingawa kwa jinsi siku zinavyokwenda na mkataba unaenda kufikia ukingoni, hata hiyo fursa inazidi kuwa ndogo.

Kumbuka pia Feisal ana haki ya kuridhia transfer yake ambayo Yanga watataka kufanya kwa sababu club inaweza kutaka kumkomoa kwa kumtoa kwa mkopo katika ligi daraja la tatu. Kwa hiyo kama ni kukomoana, Feisal anaweza na yeye kugoma kuuzwa na badala yake kuwa tayari kulipa fidia kwa kuvunja mkataba kwa njia isiyo halali. Kwa case ya Tanzania na Feisal hii siyo issue kubwa maana hata ukimuuza katika ligi au timu mbovu ili kumharibia brand yake, hiyo bado ni ushindi kwake maana atakaa kwa muda mfupi halafu dirisha dogo atarudi Azam au Simba.
 
kuna watu mnachekesha kwahiyo kuhama timu anaamua yeye?, Hivi huu ujinga huwa mnatoa wapi?. Kwa taarifa yako toka maamzi ya review ya jana leo yanga wanapaswa kumuandikia barua ya kurudi kibaruani aidha anataka au hataki, yanga haiwezi kumuuza Wala kuvunja mkataba wake chin ya 500M sababu kubwa ameonesha jeur na dharau pia imetambua aliyenyuma yake... Kwahiyo usitegemee la kuachiwa kirahisi.
Wambane bwege yule na asipangwe kikosini Hadi anyooke.Yeye analeta utoto wake na uzanzibar kisha yeye na mama yake wanaanza kulia Lia kuomba huruma! Inabidi atambue kwamba Sasa ni mtu mzima.
 
Ukiangia kwa karibu drama hii ya Fei kusudi kubwa la waliompanga lengo lao kubwa sio kumchukua Fei, lengo kuu lilikua kuivuruga Yanga kwa kumchukua Fei.
Angalizo kwa Fei lengo kuu likifeli (linaelekea kufeli) hawatampa dhamani hiyo waliyomdanganya nayo.
Kama hakuna timu inayomtaka Yanga watangaze dau la kumuuza kisha yeye alinunue ili awe huru maana timu inayomtaka anaijua yeye tu huko anakodai kuna maisha bora zaidi.
NB. Kwa kiasi kikubwa kiwango cha mchezaji pia kinaweza kukuzwa na mambo mengi, Yanga wamewekeza kwenye walimu, vifaa, afya pamoja na juhudi za mchezaji mwenyewe.
Mwisho wa siku mpira ni biashara sio hisani.
Yanga na TFF wanastaili pongezi kwa kutumia akili ya kawaida tu kuamua jambo lililowazi.
 
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa

Yaan basic salary iwe 4m umuuze kwa 500m?

Kwa labda wamboreshee mkataba ili naye apewe kiasi fulani, then ndo wamuuze.
 
Back
Top Bottom