kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Wachezaji wa timu kama Yanga hawapaswi wawe na kocha anaewafundisha namna ya kupora mpira, kupiga kona, kupiga penati, kukaba, au kugeuza nafasi kuwa bao. Kazi ya kocha ni kuifanya timu icheze kwa muunganiko na kutengeneza nafasi za kufunga mabao. Kaze hana lawama maana timu inatengeneza nafasi lakini wachezaji hawatumii nafasi kuwa magoli na hii sio kazi ya kocha. Kocha hafundishi namna ya kudaka mpira au kupiga penati kwa usahihi, kama kuna mchezaji hawezi kuyafanya hayo wa kulaumiwa ni yule aliyewasajili wachezaji wasioweza kupiga kona.Yanga 70% ya tatizo ni kocha, kocha ana miez 5+ ila timu haijulikan inacheza mfumo gan na ameshindwa ku improve wachezaji, beki mbovu, kipa matatizo ni yale yale, Tuisila tokea anafika alikuwa na tatizo la mipira ya mwisho mpaka leo bado ana udhaifu huo, kiufupi siyon kitu kocha alichokifanya.
Yanga kila mtu anasajili, na wako waliosajiliwa bila ushauri wa makocha husika. Shida kubwa ya Yanga ni kiongozi kuwa na taaluma ya ukocha pia, hata Zahera alilalamikia hili, mwalimu anafundisha hivi na kiongozi anawafundisha vile.