Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Wote waajiriwa wa serikali kasoro fatma siku kazi ikiisha hawawezi kusaidia timu mnaanza kutembeza bakuri tena,jifunzeni kwa simba ina bodi strong ya watu maproffessional na wenye makampuni.
Bodi gan mkuuMudi Kila siku anasusa .....mnaenda kumpigia magoti Kila siku[emoji23][emoji23]
 
Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Ccm Na Yanga Kama Mate Na Ulimi
Kuanzia Rangi Zao Mpaka Matendo
 
Wote waajiriwa wa serikali kasoro fatma siku kazi ikiisha hawawezi kusaidia timu mnaanza kutembeza bakuri tena,jifunzeni kwa simba ina bodi strong ya watu maproffessional na wenye makampuni.
Tutajie majina ya bodi ya wadhamini ya Simba tukufunguwe macho maana upo gizani.
 
Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.

Tunapowaambiaga kila siku hapa timu za Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali kuna viziwi huwa hawaelewi.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu na Mali zote za timu.
Hayo ya huko kwa watopolo, simba huwezi kukuta ujinga huu.
 
Shangazi ni kitukuu cha Fatma Karume, hata hilo jina kapewa la Bibi yake.

Fatma Karume ndiye mke (mjane) wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amaan Karume.
Nimeereuwaaaa....in haya's voice
Nilifananisha majina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…