Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

JF imejaa wajinga wengi, Karume ndiye aliyetowa pesa za Kujenga makao makuu ya Jangwani na makao makuu ya Simba Msimbazi.

Muwe mnauliza vitu ambavyo hamvijui.

Bodi ya wadhamini ndio wamiliki wa timu.
Fatma karume au mama ake na Fatma mkuu

Dr mwandamizi
 
Wote waajiriwa wa serikali kasoro fatma siku kazi ikiisha hawawezi kusaidia timu mnaanza kutembeza bakuri tena,jifunzeni kwa simba ina bodi strong ya watu maproffessional na wenye makampuni.
Weka bodi ya Simba na wasifu wao,
 
Simba ni timu ya serikali pia, Sunderland iliporwa na serikali uikapewa jina la Kawawa Simba wa vita.

Uliza uambiwe, jiulize kwa nini Dewji ana makampuni zaidi ya 100 lakini mchakato wa kuimiliki Simba umeshindikana?
Hajui hata ktk Simba bodi imejaa wabunge wa ccm
 
Na wewe ni demu?
 
pia yule wakili ni fatuma karume haya majina yao yanaleta sintofahamu sana nadhani yanatenganishwa na 'BI'
Sintofahamu ni kwako tu si kwa watu wa Yanga au watu wa mpira.

Mrs Karume yupo bodi ya wadhamini ya Yanga kitambo, si kwamba ndio uteuzi wake wa kwanza huu.

Kuna mashabiki wa Simba wengi tu hawajui kama Karume ndiye aliyetowa pesa za Kujenga makao makuu ya Simba Msimbazi kwa heshima ya Kawawa Simba wa Vita na ndio mwenye timu yake.
 
Sasa Kitale na Mwigulu nani mwenye afadhali?

Hili ni swala la kujivunia nalo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…