Yanga inachukia wachezaji walioumia kazini?

dirisha limeshafungwa ataenda wapi?
Si anaenda kuuguza majeraha yake! Au!!! Halafu mbona January siyo mbali! Na kama atakuwa fit si atasajiliwa na timu nyingine!!

Kwani ni lazima achezee Yanga?
 
Hii ndiyo tabia inayosababisha wachezaji wetu hawajitumi 100% wakiwa kwenye timu zetu kama wanavyojituma wakiwa timu za ulaya, Afrika ni hatari sana kama mchezaji ataumia, lakini ni hatari zaidi huku Tanzania na zaidi zaidi kule Yanga.
Una taarifa kuhusu Hassan Dilunga aliyekuwa simba! Vipi baada ya kupata majeraha na kupelekwa Afrika ya Kusini kwa matibabu!

Yuko wapi kwa sasa? Au huna taarifa yake!!
 
Si anaenda kuuguza majeraha yake! Au!!! Halafu mbona January siyo mbali! Na kama atakuwa fit si atasajiliwa na timu nyingine!!

Kwani ni lazima achezee Yanga?
Hii ndiyo inayowafanya wachezaji Yanga wajichukulie sheria mkoni wakikanyagwa uwanjani. Halafu mtu anawalaumu wakifanya hivyo. Ligi yetu ni hatari z=sana kwa wachezaji. Mtu kama Inonga na Kanoute wana wastani wa kuumiza wachezaji kwenye kila mechi. Sasa hivi Kanoute ana kadi nyingi za njano na Inonga kakoswakoswa kupewa red card.
 
Kwenye ishu ya Kambole, mimi sioni kama ilikuwa ni big deal. Maana inavyo onekana huyo mchezaji alisajiliwa akiwa tayari ni majeruhi! Na hakuumia akiwa Yanga!
 
Player profile:–

Name: Lazarus kambole

Position: striker

Signing: 25k dollar

Match played: 0

Goal scored: 0

Current club: unknown

Only in Africa na utopolo kweli wenye akili ni wawili.
 
Kwa hiyo ulitaka Yanga iendelee kukaa na hao wachezaji hata kama mikataba yao imekwisha! Kisa tu waliumia wakiwa wanaichezea Yanga!

Hilo jambo halipo. Timu nayo ina malengo yake. Wangekuwa wametelekezwa baada ya kuumia, sawa! Kumbe walipatiwa matibabu sahihi, ila kwa bahati mbaya wameshindwa kurejea katika viwango vyao vya awali, na mikataba yao ikaisha!

Binafsi sioni tatizo kwa kweli. Maisha ya mpira hayako Yanga pekee! Hivyo waende tu kujaribu bahati yao mahali pengine.
Uchawi wa yanga haiushii tu kwenye kuroga mechi ya simba bali mpaka kwa wachezaji wenyewe kwa wenyewe ndo maana yule chai jaba alikataa kukaa hostel baada ya kutonywa na mshinde wake yakuba sogne na balama mapinduzi na alimsihi asije akaacha kiatu chake ama soksi mazoezini huo ndo utakuwa mwisho wake.
 
Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji.

Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa Yanga wanakuwa wakali sana na hata kujichukulia hatua mkoni dhidi ya wachezaji wanaowachezea vibaya uwanjani. Hofu hii inasababishwa na utamaduni wa yanga wa kuchukia na kuwakataa wachezaji wanaopata majeraha makubwa wakiwa kwenye mazoezi na kwenye mechi. Hawajitumi kwa kuogopa kupata majeraha mabaya yatakayowafukuzisha kibarua.

Yanga imeachana na wachezaji kibao wa aina hiyo wakiwemo akina Mahadhi, Balama, Yacouba na Kambole. Tabia hii haikubaliki kwa wachezaji hasa wale wageni, maana inawafanya wafikirie mara mbilimbili wanapokuwa kiwanjani.

Hakuna namna nyingine ya kukabiliana na wachezaji wenu wanaoumia badala ya kuachana nao?
Nakumbuka Simba walichokifanya kwenye msiba wa Mafisango
 
Tuliza kinyeo kama hujui kitu uliza. YACOUBA ana muda gani hajacheza na anaumwa bado yupo Yanga
 
Hoja hapa ni Yanga kuwatema wachezaji waliopata majeruhi ya muda mrefu kwamba inaharibu morali ya wachezaji wengine kwa hofu ya kuachwa endapo wataumia. Sasa mtu mjinga anaandika "mbona Simba hivi, mbona Simba vile", usiwe mpumbafu, simama kwenye hoja na sio kufananisha kinachofanyika upande wa pili ili kuharalisha ujinga wako.
 
Kwenye ishu ya Kambole, mimi sioni kama ilikuwa ni big deal. Maana inavyo onekana huyo mchezaji alisajiliwa akiwa tayari ni majeruhi! Na hakuumia akiwa Yanga!
Jamii na hata wachezaji hawalijui hilo, aliyefanya scouting ya mchezaji apewe yeye adhabu, na aliyemsajili bila kufanyiwa vipimo ni nani? nae ajitafakari.
 
Uchawi wa yanga haiushii tu kwenye kuroga mechi ya simba bali mpaka kwa wachezaji wenyewe kwa wenyewe ndo maana yule chai jaba alikataa kukaa hostel baada ya kutonywa na mshinde wake yakuba sogne na balama mapinduzi na alimsihi asije akaacha kiatu chake ama soksi mazoezini huo ndo utakuwa mwisho wake.
Hiyo tabia nasikia anayo Shabalala, Bocco, Mkude na Mzamiru.
 
Tuliza kinyeo kama hujui kitu uliza. YACOUBA ana muda gani hajacheza na anaumwa bado yupo Yanga
Kama bado yupo basi wameogopa kumlipa fidia kubwa, lakini subiri mkataba usogee akione Cha mtemakuni
 
Sijawahi kusikia mchezaji mpya akifanyiwa vipimo vya utimamu wa mwili na akili kabla ya kupewa mkataba.
 
Wenzetu huko viwanja vya mbele hawakurupuki, pamoja na kufanya scouting ya kutosha lakini mchezaji anapimwa afya kabla ya kusajiliwa. Ni aibu kusema kambole anaumwa hata kabla ya kumaliza preseason.
 
Back
Top Bottom