Yanga inahitaji sajili 4 bora za uhakika ili kuwa na timu kamili

Hivi mfano angetoka Aziz Ki je nafasi yake angechukua nani pale benchi?
Alipaswa atoke aziz ki aingie mudathir alafu pacome asogee juu alipokuwa aziz ki na mudathir acheze eneo alilokuwa pacome.

Mudathir anakaba na ni mpambanaji sana, na pacome hivo hivo.

Aziz ki hakabi kabsa anatembea tu.

Kitu kingine yule maxi tunakosa ubora wake halisi kumchezesha pemben nafkir maxi anapswa kucheza lile eneo la aziz ki kwasabab maxi yupo faster na maamuzi yake na kazi anayo. Anagalia ile mechi ya wiki ya mwananchi maxi alicheza eneo hilo.

Aziz ki mechi ngumu hapaswi kuanza
 
Mimi ni yanga na nimekuelewa vyema kabisa hakika umenena kitaalamu ila pia apo kwenye kocha mwishoni unaonaje uyu jamaa tukamuacha maana ni kama ana mbinu za kizamani kama moloko naona kocha hana trick nzuri ji rahisi sana kumsoma na kumjia na majibu
Hili ndilo mapingana sana wenzangu mimi Gamondi mpaka sasa haiipa yanga kitu tunachokitegemea
 
Maxi kumchezesha pemben ndo tatzo mechi ngum utamlaum bure tu, hata yeye maxi alisha hojiwa akasema anapenda kucheza nyuma ya mshambuliaji lile eneo la aziz ki.

Angalia hata ile week ya mwananchi alicheza eneo hilo. Na pia maxi anajituma sana akicheza eneo hilo ana press kwa nguvu na mabeki wanaweza fanya makosa tofauti na aziz anatembea tu
 
Ila tano ni balaaa
 
Yaani hii yote ni kutoka droo na al ahly ndio inafanya uwaone aziz ki na gamondi hawafai? Inavyoonekana unaichukulia poa sana al ahly kwamba ni timu ya kawaida na yanga ilikuwa lazima ishinde
 
Nilipoona yanga kuna utoto ni aliposajiliwa makudubela
 
Ifikie hatua mashabiki muwe na kiasi na shukrani pia. Hiyo timu mnayotaka ishinde kila mechi haipo ktk dunia hii. Labda msajili malaika. Wala yanga haina uhitaji huo unaoutaka. Unasahau kuwa imekutana na timu bora Africa.
 
Nilipoona yanga kuna utoto ni aliposajiliwa makudubela

Kufundisha soka bongo taabu kwelikweli. Kila shabiki ni kocha. Sijui kwanini vilabu vinaingia gharama kubwa kuleta makocha wa bei mbaya wakati vingeweza kuchukua shabiki kama wewe ukawa kocha.
 
Tatizo kubwa la Yanga ni
1. Kiungo wa ukabaji DM

2. Azizi ki huyu ni tatizo na ndo moja ya watu wanao sababisha tuone Yanga tuna tatizo la strikes japo tatizo lipo ila sio kubwa kwa kiasi hicho hata kama ataletwa striker wa namna gani ila kama azizi ki akiendelea kucheza no 10 tatizo litabaki palepale.
 
Yaani hii yote ni kutoka droo na al ahly ndio inafanya uwaone aziz ki na gamondi hawafai? Inavyoonekana unaichukulia poa sana al ahly kwamba ni timu ya kawaida na yanga ilikuwa lazima ishinde
Ww hebu toa ukilaza wako hapa, wapi nimesema hawafai? Unajua maana ya maoni kweli ww?

Me kama mwana yanga nimetoa maon yangu tu na nimenukuu maxi alihojiwa na mwanasport akasema ana enjoy kucheza kati kati kuliko pemben. sasa hapo unavonilisha maneno ya kijinga una maana gn!!
 
Ifikie hatua mashabiki muwe na kiasi na shukrani pia. Hiyo timu mnayotaka ishinde kila mechi haipo ktk dunia hii. Labda msajili malaika. Wala yanga haina uhitaji huo unaoutaka. Unasahau kuwa imekutana na timu bora Africa.
Kwani umeona nimesema kuna team isiyofungwa? Hayo ni maon yangu ili kuboresha yanga iwe bora zaidi.

Ww kaa na ujinga wako wa kuamini yanga haina mapungufu ktk kikos
 
Hivi kwann wabingo tukishapata matokeo tuliokua hatutarajii basi ndio tunaona ubovu wa kikosi au mapungufu ila kabla ya hapo mtu anajiamini na kusifu timu imekamilika inakikosi kipana
 
Mechi analyst yupo mkuu. Si wamemleta Msouth Afrika aliyechukua nafasi ya yule Mwarabu. Kimsingi kwa mimi sehehmu ya kuboresha ni striker tu. Middle zipo Akina Mauya, Muda, Sure boy na Mkude. Changamoto ya kocha huyu ni kutoamini baadhi ya wachezaji. Hivi ushajiuliza, Farida yupo wapi?
 
Ukinionyesha duniani timu iliyokamilika bila mapungufu nakuonyesha Kakakuona mwenye mimba.
 
Kwani umeona nimesema kuna team isiyofungwa? Hayo ni maon yangu ili kuboresha yanga iwe bora zaidi.

Ww kaa na ujinga wako wa kuamini yanga haina mapungufu ktk kikos
Toa fedha aletwe Mbape, Saka, Ronaldo au yule mcheza kinara wa mancity na sio kubwabwaja maneno hapa. Lakini ambalo hujui ni kuwa hata timu wanazochezea zinafungwa vilevile.
 
Kwani umeona nimesema kuna team isiyofungwa? Hayo ni maon yangu ili kuboresha yanga iwe bora zaidi.

Ww kaa na ujinga wako wa kuamini yanga haina mapungufu ktk kikos
Malalamiko yako yanatokana na Draw ya Yanga jana kama vile hakustahili ile Draw. Unafikiri ile ni chandimu dogo? Ulitaka Yanga ajipigie goli kama 2 au 3 hivi ndio ujue kuwa haina mapungufu? Wakati mwingine mapungufu hujitokeza kutokana na ubora wa mshindani wako. Tatizo umeanza kushabikia mpira juzijuzi ndio maana uko over ambitious.
 
Toa fedha aletwe Mbape, Saka, Ronaldo au yule mcheza kinara wa mancity na sio kubwabwaja maneno hapa. Lakini ambalo hujui ni kuwa hata timu wanazochezea zinafungwa vilevile.
Ww ni mjinga hatuongelei kufungwa tunaongelea mapungufu, yanga ina striker gn wa maana, ina winga yupi wa maana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…