Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Kila la heri wananchi japo nyie mna roho mbaya!!
Itaishiaje hapo wakati atakua na point tano kama Yanga?
Wakilingana pointi wanaangalia mlipokutana nyie nani alikuwa mbabe? Walipokutana wao Yanga alikula kichapo cha 3 kwa sifuri!! Ili kulifuta hilo watakapokutana tena kwa Mkapa Yanga inabidi amshinde CRB goli 4 kwa bila!! Je ubavu huo anao?
Mkumbuke kuwa Al Ahly alishindwa kabisa kumshinda CRB akiwa nyumbani, je atakapokuwa ugenini ataweza? Mahesabu ya Al Ahly ni kumfunga Yanga wala si kumfunga CRB. Al Ahly hana ubavu wa kumfunga CRB ugenini!!
 
Usichokijuwa Waarabu wanajuwana, Al Ahaly huwa inasumbuliwa hata na timu za Sudan.
 
Mnajua kupiga hesabu za Yanga Ila zenu hamzijui
 
Simba anaenda kuvuna angalau pointi 1 kwa Asec kwa sababu

1. Simba ipo rejuvenated, imefufuka na morali mpya, na kocha mzuri

2. Asec hana cha kupoteza akitoa sare kwa sababu ameshafuzu
Wydad wamekuja na kocha mpya wakafungwa huyo wenu mpka mwakani mwezi wa tatu atakua bado kocha mpya?
 
Yanga haina haja ya kusubiri habari za H2H itapita kwa wingi wa points sio kama timu flani imeingia makundi kwa kanuni
 
Sawa mchambuzi
 
Huu muda uliopoteza kuandika huu ujinga,ungeutumia vyema ungepata faida zaidi, Hizi aibu ndogondogo mbona zinaepukika! Sometimes ficha ujinga wako, sio lazima kila mtu ajue.
 
Achana na soka .kalime tu
 
Hata ratiba ulikuwa huijui lakini ukajifanya Dony Allan kwenye uchambuzi. Kwa ratiba yako Mechi ya Ahly na Yanga tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…