Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Huyo ni Tembele fake wa mikia fc. Ally Mayay Tembele hawezi kuandika upuuzi huo kwani anashindwa nini kuwasilisha maoni yake kwa viongozi wenzake mpaka aje kwenye majukwaa ambayo yanajumuisha watu wengine ambao ni wapuuzi tu.
Tembele aache kulialia sasa ni Kiongozi huko Yanga alete mawazo ya kuimarisha timu basi!
 
Ndio maana kila siku ninasema mashabiki wa yanga Hanna akili,kwa sasa mo sio mfadhiri wa simba bali ni muwekezaji.
Akiona ameshwindwa kuendesha klabu anauza hisa zake kwa mtu mwingine anayeweza.
Mkuu mwekezaji gani mpk leo hajaweka bln 20 kwenye acc ya mikia,ebu nenda kwenye soko la hisa uone kama kuna jina la simba,subirini soon tutawaonyesha uwekezaji unavyokua pale Yanga,sio ule usanii wa ftiends of mikia
 
Hiyo ni smartphone error kaka inawezekana mwandiko wangu ukawa bora kuliko wa kwako.
Jifunze kuandika halafu rudia kusoma nilichoandika."huezi"?????ni kilugha.
 
Huyo ni Tembele fake wa mikia fc. Ally Mayay Tembele hawezi kuandika upuuzi huo kwani anashindwa nini kuwasilisha maoni yake kwa viongozi wenzake mpaka aje kwenye majukwaa ambayo yanajumuisha watu wengine ambao ni wapuuzi tu.
Ally mayay akosee hadi kuandika jina lake badala ya mayay aandike mayai,mo na kundi lake wanapambana kwa kila hali ili tu kuanzisha mgogoro pale Yanga,maana pakitulia patawaumbua pindi Yanga ikifikia hatua ya mchakato wa hisa,tayari kuna watu 4 wako tayari kununua ile 49% tena kwa hela ndefu zaidi ya aliyosema mo bln 20
 
Kama Simba wamekubali Mo awekeze kwa 49% Ambao Yanga wanaponda mfumo huu basi wao waje na mfumo mzuri kuliko wa Simba + Mo.
Lakini kutumia mfumo wa Bakuli na Harambee daily kwa timu kama Yanga ni ujinga.
Mkuu tambua Yanga ilikua kwenye misuko suko kwa miaka 2,huu uongozi mpya ndio kwanza una miezi 5,mambo mengi mazuri yanakuja ikiwemo hiyo hisa ambayo Yanga wala ahitaji kubadilisha katiba,mfumo wetu tutakaokuja nani ule wawekezaji zaidi ya mmoja,na hao wawekeza wapo,yashatukuta sie kumtegemea mtu m1 hlf mnaanza kumuabudu km Mungu!
 
If wishes were horses,beggars would ride.Hizi ngonjera tumezisikia sana. Kwanza zilianza na kumpigia magoti Manji zikaishia kujidanganya.Migongo wazi hamna ujanja. Tembezeni bakuli ndio saizi yenu.Au mkodishe timu kama sufuria za pilau kwa mujibu wa Mzee Akilimali.
 
Mfumo upi mzuri mnaoenda kuuanza...huu wa kuendesha timu kwa harambee???lini moodewji alisema anataka kuondoka simba...or umepiga ramli ukaingia ndani ya kichwa chake ukaona anataka kuondoka simba
Mimi kama mshabiki wa simba niwashauri tu yanga...msikubali kufuata huu mfumo wa simba wala mifumo yoyote mipya ya kisasa kuendesha timu yenu...
Nyi endeleeni na huu mfumo wa kuendesha timu kwa harambee na kupitisha mabakuli watu waichangie timu
"NYIE NI TIMU YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI NI NYIENYIE WANANCHI"
Endesheni timu yenu kwa harambee mpate pesa za kulipa malimbikizo yakina yondani na kina dante wasigomee tena mazoezi
 
Mfumo wa vyura ni bakuli hivi ni vichekesho huyo anasapoti mfumo huo hata sumuni hajawahi toa
 
Reactions: Tui
Ujinga wa kiwango cha mashindano ni kufikiri kama wewe.
Kama Simba wamekubali Mo awekeze kwa 49% Ambao Yanga wanaponda mfumo huu basi wao waje na mfumo mzuri kuliko wa Simba + Mo.
Lakini kutumia mfumo wa Bakuli na Harambee daily kwa timu kama Yanga ni ujinga.
 
Huyo ni Tembele fake wa mikia fc. Ally Mayay Tembele hawezi kuandika upuuzi huo kwani anashindwa nini kuwasilisha maoni yake kwa viongozi wenzake mpaka aje kwenye majukwaa ambayo yanajumuisha watu wengine ambao ni wapuuzi tu.
Kama makomandoo wa yanga wamewasilisha barua ya malalamishi yao kwa uongozi na mmepublish kwenye akaunti ya club,kumbe mayai kupublish maoni yake yuko sawa inaonekana ni utamaduni wenu
 
Timu ya Mo 49%. Wajinga ndio waliwao
 
Hakuna mtu anaye jitambua anayeweza kuja kuwekeza kwenye timu ya watu wasio jielewa kama yanga.
Tegemeo lenu lilikuwa ni R.Azizi na mwenyewe akachomoa.
 
Reactions: Tui
Ile nyingine timu ya kina mzee akilimali,tumewapa na mzee kilomoni aje aungane na mzee akilimali washauriane namna ya kuboresha mfumo wa kuendesha timu kwa harambee
Kilomoni kawazidi akili mambumbumbu fc. Akilimali umemsikia akisema lolote? Kama kweli unatumia kichwa kwa ushauri wa Werema hebu niambie, kwa nini maamuzi yote ya budget yanatolewa na Mo mwenye hisa 49% badala ya mmiliki wa 59% kama ilivyo utaratibu?
 
Umekariri kwa hicho ukisemacho. Jifunze mifumo ya soka ndipo useme fikra za kizamani, usikubali kusombwa na upepo tu. Tatizo la kwanza kwa soka la Tanzania ni siasa. Pole sana
Uwe unatafakari kabla ya kuandika, huoni Simba wanaitoa timu yao(na mpira) kwenye Siasa, yaani kutegemea makomandoo na wanachama badala yake unafanyika uwekezaji? Wakati sisi bado tupo kwenye slogan za kisiasa. Viongozi wa Sasa wa Yanga hawana uwezo wa kutuvusha muda utaongea.
 
Kwani maamuzi yakitolewa na mo or yoyote as long as timu inafanya vizuri tatizo lipo wapi...nyi yanga maamuzi anafanya nani???
Mbona nyi maamuzi yanafanywa na watu mnaoona sahihi but litimu ni bovu kilasiku linafungwafungwa tu na minjaa tele


Alafu Who is werema??..kilomoni katuzidi akili ndo mana tumewapa yanga aje awasaidie kuendesha timu kwa harambee na mabakuli...huyo werema nayeye kwakuwa mashabiki wa makwasukwasu fc mumemuona kichwa mchukueni aje awasaidie kupanga harambee za timu yenu maana mwaka huu naona pumzi imekata mapema,ligi haijaanza wachezaji washaanza kugoma wanadai malimbikizo
 
Hizi hesabu ngumu wewe zisikie tu.Kuhesabu hata kwenye kikapu ngumu itakuwa %.
 
.......as long as timu inafanya vizuri ndipo lilipo tatizo. Wewe ufahamu wameshaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…