pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Ushatoa mchango wa mganga wa mechi ijayo ya simba wenzako washaanza kupeleka hela ya mganga huko wee endelea kuiwaza big bullet mganga anataka hela yake amalize kazi mapema.Juzi kati hapa nilikuwa nazungumza na kigogo mmoja wa Nyasa Big Bullets kuhusu mechi yao ijayo ya Kimataifa! Eti kasema haihofii kabisa simba!!
Mbaya zaidi akasema hata hizi mechi zenu za kule Sudan, ni ushahidi tosha timu yenu haina maandalizi ya kutosha kwenye Pre season, ukilinganisha na wao. Na ameahidi timu yake itawatoa eti kwenye hii hatua ya awali ya mashindano.
Binafsi nasubiri kuona matokeo ya mwisho.