Yanga inayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi

Ushatoa mchango wa mganga wa mechi ijayo ya simba wenzako washaanza kupeleka hela ya mganga huko wee endelea kuiwaza big bullet mganga anataka hela yake amalize kazi mapema.
 
Kiufupi nikusaidie Alhilal is dedly kwenye nockout ata angepangia zamaleck anan'goka ,usidhani wanaingia makundi Kila mwaka Kwa kubahatisha .Yanga atacheza Shirikisho tena asipangwe na miamba ya kaskazini kulingana na rank yake ndogo
Kwa mwaka huu itabidi atupishe tu
 
Rivers united hayakuwa mashindano?
 
Rivers united hayakuwa mashindano?
we jamaa unakariri sana mambo ya zamani! mi nazungumzia Yanga mpya we umeshikilia bomba tu gari ishafika watu wanashuka we umo tu!

Si vibaya pia ukikumbushia mlitufunga 5 na kwa miaka minne sasa mmebaki na historia tu mkononi uwezo wa kuifunga Yanga haupo mkipata japo goli moja tu mnaruka hadi juu ya bati na kufanya sherehe!

Yanga iliyocheza na River United sio Yanga iliyobeba NBC premier league unbeaten! nadhani umenisoma!! we jamaa shule ungesoma ulaya ungekuwa unapata 20% halafu unaenda kushitaki mbona nilimeza kila kitu na nikajibu vyote kumbe hukutakiwa kukariri ilipaswa uelewe na ujibu ulivyoelewa!!
 
Hiyo miaka mi4 ambayo hujafungwa na simba umechukua kombe la ligi kuu mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…