Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

Wee ni muongo, haukuvukaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okrah na Mkude wanacheza au hawachezi? Kama wanacheza unadhani nani atashindwa kwa waliobaki mkuu, jibu ukiwa hauna hasira na refa
Hao wote wote wanatokea sub. Mi nasema wachezaji wanaoweza tikisa 1st eleven yan panga pangua ataingia mchezaji wa Simba kwenye kikosi cha Yanga
 
Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Amka usingizini utakunya kitandani bure wewe na wishful thinking yako
 
KQUOTE="Zouzoutz, post: 49890881, member: 744446"]
Ningeenda kuangalia halafu ningeiminyia kwa ndani
[/QUOTE]
Kumbe unajua kuiminyia kwa ndani? Huwezi kuachwa.
 
Mliropoka hivi hivi kuwa masambwanda yametuzidi mbali mno kisoka, hamjifunzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…