Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
 
Wacha yanga akomae ndio zasa mambo yatakuwa mukide kabisa.
 
Jasusi wa Simba Haji Sunday Manara hatimaye aizamisha Yanga kwenye kilindi kirefu.
 
Screenshot_20250506_134646_Instagram.jpg

Vipi ripoti ya uchunguzi ishatoka? Bodi wanazidi kujichanya, wanajua hii ripoti itawakaanga.
 
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Bodi ya ligi walishindwa kufata kanuni toka siku ya kwanza ya sakata hilo.
Ni ngumu sana kwao.
 
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Wewe huwazi nje ya boksi unapelekeshwa na mihemko.subiri utaona madhara yake ndipo utaelewa nani ataumia zaidi.mtakosa mishahara,wadhamini na ligi yenu na huyo tff ndoa itakuwa mwisho na historia ya mpira itafutika tanzania.ongeani sana kishabiki kama vile simba inaweza kuishi bila yanga labda kichaa pekee ndo anaweza ongea au andika huo uchafu.
 
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Kwahiyo kolo alivyo susa kucheza na TFF wakahairisha walikuwa chini ya Sheria ?marefa wanaowabeba kwenye gemu ndiyo Sheria hiyo.
 
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums-31645776.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Bodi walisema watarudi na ripoti ya uchunguzi ipo wapi? Hilo walihaidi wao wenyewe,lazima watu waulizie hiyo ripoti ipo wapi.
Mletewe hiyo ripoti kama nani nye?si mliruka bodi ya ligi na tff mkaenda CAS, mmerudishwa chini sasa mnaona aibu kucheza mechi
 
Back
Top Bottom