Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

Hii ndo ile inaitwa..

Ukinipiga Unanionea.

Ukiniacha unaniogopa..

Vita ya Doto na kurwa wa k, koo ni zaidi ya siasa za chadema na ccm.

No Reform no Election.
 
Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.

Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.

Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Mnavyojisahau nyie Mbumbumbu FC mtafikiri hamkumbuki kinachowapata kutoka kwa Yanga.
 
Huyo naye kichwa mgando,badi ya ligi ilishasema mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa,au hadi avuliwe nguo ndo ataelewa
Wewe ndio kiazi na takataka!, Hizo rushwa na sababu za kiusalama zinazosemwa hazikufanyiwa uchunguzi kujua nani amehusika?. Au unajua kutaja vijisababu bila kuwa na taarifa za hizo sababu?. Kwahiyo baada ya kutoa sababu hizo ndio mechi kuhairishwa na kupangwa nyingine bila matokeo ya madai yao?. NDIO MAANA MWAMPOSA ALIWAPAKA MAFUTA MKALAINIKA VIPENYO VYENU.😂
 
Back
Top Bottom