Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Aden Rage hakukosea kuthibitisha Mashabiki wote wa Simba SC ni Mbumbumbu.Wewe huwazi nje ya boksi unapelekeshwa na mihemko.subiri utaona madhara yake ndipo utaelewa nani ataumia zaidi.mtakosa mishahara,wadhamini na ligi yenu na huyo tff ndoa itakuwa mwisho na historia ya mpira itafutika tanzania.ongeani sana kishabiki kama vile simba inaweza kuishi bila yanga labda kichaa pekee ndo anaweza ongea au andika huo uchafu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.