Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wacha yanga akomae ndio zasa mambo yatakuwa mukide kabisa.Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Nami nataka Yanga wakomae.Wacha yanga akomae ndio zasa mambo yatakuwa mukide kabisa.
Nami nataka Yanga wakomae.
Bodi ya ligi walishindwa kufata kanuni toka siku ya kwanza ya sakata hilo.Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Huyo naye kichwa mgando,badi ya ligi ilishasema mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa,au hadi avuliwe nguo ndo ataelewaView attachment 3326116
Vipi ripoti ya uchunguzi ishatoka? Bodi wanazidi kujichanya, wanajua hii ripoti itawakaanga.
Wewe huwazi nje ya boksi unapelekeshwa na mihemko.subiri utaona madhara yake ndipo utaelewa nani ataumia zaidi.mtakosa mishahara,wadhamini na ligi yenu na huyo tff ndoa itakuwa mwisho na historia ya mpira itafutika tanzania.ongeani sana kishabiki kama vile simba inaweza kuishi bila yanga labda kichaa pekee ndo anaweza ongea au andika huo uchafu.Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Bodi walisema watarudi na ripoti ya uchunguzi ipo wapi? Hilo walihaidi wao wenyewe,lazima watu waulizie hiyo ripoti ipo wapi.Huyo naye kichwa mgando,badi ya ligi ilishasema mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa,au hadi avuliwe nguo ndo ataelewa
Kwahiyo kolo alivyo susa kucheza na TFF wakahairisha walikuwa chini ya Sheria ?marefa wanaowabeba kwenye gemu ndiyo Sheria hiyo.Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji.
Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa.
Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka zitekeleze kanuni zilizopo. Timu ambayo haitoonekana ichukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria na kanuni.
Yanga iwe klabu ya mfano kwa kula nyundo kali sana. Yanga hawataki chochote, sijui wanataka nini. Hawataki kukaa na TFF na Bodi, maana yake wanataka kujiondoa kwenye ligi?!
Mletewe hiyo ripoti kama nani nye?si mliruka bodi ya ligi na tff mkaenda CAS, mmerudishwa chini sasa mnaona aibu kucheza mechiBodi walisema watarudi na ripoti ya uchunguzi ipo wapi? Hilo walihaidi wao wenyewe,lazima watu waulizie hiyo ripoti ipo wapi.