Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

Aden Rage hakukosea kuthibitisha Mashabiki wote wa Simba SC ni Mbumbumbu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wewe mpuuzi, kila siku ya Yanga yanakuwasha nini?
 
Hapo ndiyo mnapozingua mnapodhani eti bila Yanga ligi haiwezi kufanyika. Unadhani kuna kipengele katika mkataba wa Azam Media na TFF kwamba wahakikishe Yanga haishuki daraja? Kitendo tu cha kuwaza hivi kinaonyesha uduni wenu wa kujua sheria.

Najua Yanga haitashushwa daraja kwa sababu ya busara ila hata ingeshushwa, ligi ingeendelea vizuri tu.
 
Kwani lazima yanga icheze ligi kuu bara!?.. wanaweza hamia zanzibar
 
Hii Nchi nusu ni mashabiki wa Yanga na nusu ni Simba. Hizo timu nyingine hazina mashabiki, TFF na bodi hawatoboi amini haya maneno. Kuna watu watashurutishwa kuondoka kabla ya hiyo mechi.
 
Hii Nchi nusu ni mashabiki wa Yanga na nusu ni Simba. Hizo timu nyingine hazina mashabiki, TFF na bodi hawatoboi amini haya maneno. Kuna watu watashurutishwa kuondoka kabla ya hiyo mechi.
Ni sahihi na hakuna mtu wa kuikata wala kuishusha yanga daraja.

Wao ndio watatoka. Hivi wafanyavyo ni mbwembwe. Nani atakayelipo gharama na haki za matangazo na wadhamini wa ligi kuu?

Jamaa wanajitekenya kwa kukwepa tatizo la msingi na Eng. Hersi hasemi tu ila anaombwa sana aingize timu uwanjani.

Muda ni jawabu.
 
Waambieni kwanza walezi wenu Bodi ya ligi, watoe kwanza ripoti kamili iliyosababisha kuwaunga mkono kwenye lile tukio lenu la kukimbia mechi iliyotakiwa kuchezwa tarehe 08/03/2025! Siyo mambo ya kudekezana tu hapa na kubebana kwenye mambo ya kijinga.
 
Hakika
 
Hivi hakuna namna wacheze ligi nyingine huko watuondolee uchafu ligi kuu....mamlaka zinazopendelea ndio hizo.hizo.mechi zake Bado wanazicheza na wanataka ubingwa..
 
Kenge nyie...misimu mitatu mliyobebwa Hadi kuchukua ubingwa hamkutosheka..kengemijusi
kabisa yanga anabebwa sana yaani kila anaye katiza mbele yake anakula 5

hii si sawa yaani hakuna timu ijapigwa 5 huu ni uonezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…