Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

Bodi ya ligi walishindwa kufata kanuni toka siku ya kwanza ya sakata hilo.
Ni ngumu sana kwao.
Bodi na tff wanasubiri huruma za wanasiasa tu, wanataka rais aingilie kati tu.
 
Hii ndo ile inaitwa..

Ukinipiga Unanionea.

Ukiniacha unaniogopa..

Vita ya Doto na kurwa wa k, koo ni zaidi ya siasa za chadema na ccm.

No Reform no Election.
 
Mnavyojisahau nyie Mbumbumbu FC mtafikiri hamkumbuki kinachowapata kutoka kwa Yanga.
 
Huyo naye kichwa mgando,badi ya ligi ilishasema mechi iliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa,au hadi avuliwe nguo ndo ataelewa
Wewe ndio kiazi na takataka!, Hizo rushwa na sababu za kiusalama zinazosemwa hazikufanyiwa uchunguzi kujua nani amehusika?. Au unajua kutaja vijisababu bila kuwa na taarifa za hizo sababu?. Kwahiyo baada ya kutoa sababu hizo ndio mechi kuhairishwa na kupangwa nyingine bila matokeo ya madai yao?. NDIO MAANA MWAMPOSA ALIWAPAKA MAFUTA MKALAINIKA VIPENYO VYENU.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…