Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Eti shabiki pole yako ndio maana nakwambia hizo propaganda uchwara kawaeleze waliokutuma kwamba wametokota,,utawaokota wasiojielewa
Wewe umetokota hizi ni habari za ndani labda uwe karibu na viongozi au wachezaji ni wewe peke yako ndio upo mbuga ya katavi utapata wapi habari kama hii mpira wenyewe unasikilizia kwenye redio!
 
Huyu kijana wetu inabidi ajitazame sana

Msimu huu amekuwa akijifanya kocha akiwa nje ila akiingia ndani anapuyanga

Afadhali babu chama yule babu anaujua
 
Bila ya picha au video ya tukio itakuwa ni majungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…