Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Tetesi: Yanga kabla ya mechi ya leo juzi walichapana makonde Mwamnyeto na Aziz Ki wakati wa kikao cha kocha mpya!

Eti shabiki pole yako ndio maana nakwambia hizo propaganda uchwara kawaeleze waliokutuma kwamba wametokota,,utawaokota wasiojielewa
Wewe umetokota hizi ni habari za ndani labda uwe karibu na viongozi au wachezaji ni wewe peke yako ndio upo mbuga ya katavi utapata wapi habari kama hii mpira wenyewe unasikilizia kwenye redio!
 
1732705494349.png
 
Huyu kijana wetu inabidi ajitazame sana

Msimu huu amekuwa akijifanya kocha akiwa nje ila akiingia ndani anapuyanga

Afadhali babu chama yule babu anaujua
 
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaq kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.

Hizo habari tulishindwa kuzitoa tangu asubuhi tulijua zinaweza kuwachangaya wana yanga!
Bila ya picha au video ya tukio itakuwa ni majungu tu
 
Back
Top Bottom