kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Wewe umetokota hizi ni habari za ndani labda uwe karibu na viongozi au wachezaji ni wewe peke yako ndio upo mbuga ya katavi utapata wapi habari kama hii mpira wenyewe unasikilizia kwenye redio!Eti shabiki pole yako ndio maana nakwambia hizo propaganda uchwara kawaeleze waliokutuma kwamba wametokota,,utawaokota wasiojielewa