THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Leta List Nzima Mkuu usitaje Kwa Reja RejaNi kweli yanga kwasasa ni Bora sana..lakini umeandika kishabiki kwa kuiponda Simba iliyomfunga bingwa wa kipindi kile
Mbona ni timu za kawaida tu, lipi la ajabu kufunga hizo timu?BELOUZIDAD
TP MAZEMBE
MONASTR
USMA
Kumbe belouizdad simba hajawahi kumpasua utoto raha sana mtoto akifurahia akili inamruka.Totoo nakukumbusha tu simba kampasua Belousdad,ahly,wydad,zamalek,kaizer chief,olando pirates,primier de agosto,ismailia,berkane , petro atletico,as vita club na wengine wengi, naona kucheza makundi baada ya miaka 20 kumekulevya, unajisikiaje totoo kujulishwa kama haijui au upewe na matokeoKiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao.
Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli.
Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama
NKANA serious!!!
Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga anaenda kumpasua Ahly Cairo.
Fainali au kivyovyote akikutana na Mamelodi atampasua Mamelodi.
Yanga ya Moto imepasua tema kama
BELOUZIDAD
TP MAZEMBE
MONASTR
USMA
ongeza Zingine
Half leta Team ambazo Simba alizipasua.
Ety
Nkana
Jwaneng😂😂😂
Duuuh ulichoandika akiona Mpenzi wako atajiuliza huyu Mtu ndio Zwazwa Kias hiki.Kumbe belouizdad simba hajawahi kumpasua utoto raha sana mtoto akifurahia akili inamruka.Totoo nakukumbusha tu simba kampasua Belousdad,ahly,wydad,zamalek,kaizer chief,olando pirates,primier de agosto,ismailia,berkane , petro atletico,as vita club unajisikiaje totoo kujulishwa kama haijui au upewe na matokeo
Umeandika kwa maumivu makubwa Mno.Mbona ni timu za kawaida tu, lipi la ajabu kufunga hizo timu?
Punguza uzwazwa bwashee
Match hazijaisha.Simba iliongoza kundi ikiwa na al ahly. Sijui kama yanga wataongoza kundi