Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

Ndugu mbumbumbu pumzika, Yanga isikufanye ukose usingizi.
Nakukumbusha Juzi 19/12/2023 Pyramids amefungwa kwao wakati alipata sare kule south.
Upe mpira heshimayake.
Achana na huyo hajui chochote kuhusu football.
 
Kushinda mechi zake tu haitoshi
Lazima waombe CRB afungwe na Al Ahly
Simba ndio wanatakiwa kushinda mechi zao bila kuangalia matokeo ya wengine
 
Wapuuzi nyie mtuache na Yanga yetu hatujaomba ushauri. Ila watu wa Simba wehu kweli,yaani Mpira unaochezwa na pacome unalinganisha na butua butua ya Kapombe si uwehu.

Yaani Yanga hii yeyote aje anapigwa popote mzee, Al Ahal kwake anakufa.Tunawaza tutachezaje fainali CL.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa hata al ahaly nae ana tumbo joto kuna uwezekano nae asitoboe, ili kujiwekea Mazingira mazuri inabidi amfunge kwanza CRB
 
Ndugu mbumbumbu pumzika, Yanga isikufanye ukose usingizi.
Nakukumbusha Juzi 19/12/2023 Pyramids amefungwa kwao wakati alipata sare kule south.
Upe mpira heshimayake.
Una hoja .....

Kila mtu ashinde mechi zake,mahesabu baadae
 

Duh nilisahau huu mchezo wa CRB Na madema. Bado hatari ipo

Mbaya Ahly anachezea ugenini ni aidha afungwe au afanye draw. Halaf madema akienda Algeria atakufa kama alivokufa Yanga


Yanga hawezi kumfunga Ahly pale Cairo kama alivyoshindwa kumfunga CRB pale Algiers

Mambo bado tait Ila all is possible in football
 
Mayele alipoona wametoa sare na Pyramid yeye akiwa Cairo aliwakebehi Mamelodi kuwa wamehusika asipate Visa haraka ili asicheze hiyo mechi Mamelodi hawakumjibu kitu ila baada ya gemu ya Cairo Mayele alicheza na wakafungwa goli moja ndio wakamjibu kuwa Mamelodi ni taasisi kubwa hawawezi kufanya hizo mambo za Visa kwa mtu yeyote kwa hiyo mkuu mpira kwa hawa Wakubwa hauna nyumbani wala ugenini unakufa popote ukipotea tuu...
 
Kwa lile ball nililoliiona Jana Al ahly atampasua Belouizdad za kutosha Tu..
 
Kwa lile ball nililoliiona Jana Al ahly atampasua Belouizdad za kutosha Tu..
Mpira wa kule wanakaba nafasi huku wanakaba mtu na nafasi ndio maana Al Ahly na hata Man City utawaona wanacheza vizuri mno ila njoo uwaweke na Timu za Afrika nao wanatafuta sare kwa kupoteza muda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…