Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC.

Mechi nne kali za Yanga mwezi huu;
  1. Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC)
  2. Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)
  3. Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC)
  4. Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
 
Hamna kuwabadilishia ratiba hao, kwanza Singida wenyewe ni dada zao tu watajipigia wanavyotaka.
 
Na ile ya tarehe 14.05.2023 ya Dodoma Jiji nayo bora wangeicha pale pale tu sio tough game Ile.
 
Hii timu Gallants marumo inashuka daraja kule kwao Yanga washindwe tuu
 
Hiyo game ya singida FA,Moto utawaka
 
Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC.

Mechi nne kali za Yanga mwezi huu;
  1. Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC)
  2. Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)
  3. Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC)
  4. Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
Kwa Ratiba hii, Hatoboi.
Atapoteza Ligi au Azam FA.

Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom