Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

Tunaenda kushinda ugenini tena

Cha msingi tujihakikishie mtaji wa kutosha hapa mechi ya kwanza
 
Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC.

Mechi nne kali za Yanga mwezi huu;
  1. Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC)
  2. Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)
  3. Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC)
  4. Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
Mechi Azam isogezwe mbele .......
 
Ratiba sio rafiki kabisa lakini wanatakiwa kupamba kudhihirisha maana ya kikosi kipana
Ratiba imekuwa siyo rafiki tena? Misimu kadhaa Simba ikiomba ratiba irekebishwe maana ana assignment ya kimataifa si mlikuwa mnaweka? Ratiba ibaki hivyo hivyo.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom