Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kimetanuka wapi?nyuma au mbele?Ratiba sio rafiki kabisa lkn wanatakiwa kupamba kudhihirisha maana ya kikosi kipana
Yanga Final ni lazima, hakuna wa kumzuia.
Ajipange tyuuh na kombe anachukua.
Kuna wakati unakuwa na akili sana.Yanga Final ni lazima, hakuna wa kumzuia.
Ajipange tyuuh na kombe anachukua.
Hiyo timu imeamua kukaza kimataifa mzee siyo vibonde haoHii timu Gallants marumo inashuka daraja kule kwao Yanga washindwe tuu
Kimetanuka wapi?nyuma au mbele?
Sio vibonde hali ya kuwa kwenye ligi yao ni wa mwisho?Hiyo timu imeamua kukaza kimataifa mzee siyo vibonde hao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa Ratiba hii, Hatoboi.Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC.
Mechi nne kali za Yanga mwezi huu;
- Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC)
- Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)
- Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC)
- Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
Ndyo ni mie mwayaa.Nilivyoona tyuuh nikaangalia mara2 nikagundua wewe ni b shost
Kwakua huwa naandika usivyopenda kusikia au kuona?? Kwenye ukweli tunasemaa..Kuna wakati unakuwa na akili sana.