Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

Yanga kubandua nembo ya Haier kimkataba

View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Nendeni Mahakamani mnatupigia kelele kwa bahasha za MO tukutane huko Yanga ni hot cake kwa Sasa kila kampuni inataka kufanya kazi na Yanga mbona MADUNDUKA fc mmevunja mkataba nao itakua Yanga mechi 6 bilion 1.5 ni ujinga kuacha pesa akiringa jamaa ataingia mazima
 
Kama viongozi wanaweza kufanya maamuzi ya kijinga, basi pia Sportpesa viongozi wao wanaweza kufanya maamuzi ya kijinga nao pia wanaweza kuhojiwa.
Usifanye uamuzi kwa jambo usilolijua.
Kwani ww unajali maslahi ya superaport au Yanga? Wape presha viongozi wako wawe makini, iwapo sportpesa watakuwa wrong huna hamna cha kupoteza.
 
Wachambuzi wa Bongo wapo Imara kwenye kila sekta kwanzia kwenye sheria na mikataba, Mbinu za mpira, ukocha , Urefa, Riadha, ndondi.. Daah! Wachambuzi wa bongo wapo juu sana , nawakubali maana hakuna kitu hawajui
wanachambua hadi basi la timu.
 
Kwani ww unajali maslahi ya superaport au Yanga? Wape presha viongozi wako wawe makini, iwapo sportpesa watakuwa wrong huna hamna cha kupoteza.
Mimi Nina maslahi na Yanga. Na ninawaamini viongozi waliopo.
Kama watafanya makosa, hiyo haimaanishi kuwa Sportpesa nao hawawezi kufanya makosa.
So far, tunasubiri Nini kitatokea siwezi kulaumu mtu.
 
Naona umewakalia kooni nyokanyoka fc a.k.a Mikataba fc....
 
SportPesa wamekuja kukanusha kwamba waliwapa Yanga option moja ya kuweka Visit Tanzania tu

Na wamefika mbali kuwapa Yanga siku 3 wawe wametoa nembo ya yule mdhamini

Mpaka hapa inaonesha kuna shida upande wa Yanga
Yanga kasema alikubaliana na sportpesa wakati sportpesa amekanusha kwaiyo upande mmoja utakua unasema kweli mwingine unadanganya, kwanini wewe unatumia taarifa ya sportpesa tu kama ndio taarifa ya ukweli, haiwezekani yanga ikawa sahihi. Yaani kwa mawazo yako kukiwa na ukinzani kati ya taarifa ya yanga na taarifa ya taasisi nyingine basi ni lazima yanga ndio itakua imetoa taarifa isiyo sahihi, wewe ulikwepo kipindi wanaongea hayo? Haiwezekani ikawa ni kweli sportpesa walikubali ila badae wakaja kubadilisha uhamuzi? Ishu ya feisal na yanga ilikua hivi hivi mmejikuta mawakilo wa feisal badae TFF katoa tamko feisal ni mchezaji wa yanga sasa hivi mmekua mawakili wa sportpesa. Mimi kwa ushauri wangu weka akiba ya maneno ilo suala sportpesa na yanga wakishindwana watalipeleka kwenye mamlaka husika litatolewa hukumu na hapo ndipo tutajua nani alikosea
 
Kwasababu Yanga inaendeshwa na wahuni

Easily
 
Yanga kasema alikubaliana na sportpesa wakati sportpesa amekanusha kwaiyo upande mmoja utakua unasema kweli mwingine unadanganya, kwanini wewe unatumia taarifa ya sportpesa tu kama ndio taarifa ya ukweli,
Iko wapi taarifa ya Yanga kwa media kama ilivyofanya SP?. SP wamesema Uto waliwaambia wamekatazwa kutumia LiveScore, SP wakawaambia iko wapi barua ya katazo. Wakaingia mitini. Umeona Uto wakionyesha submission ya katazo kwenda SP?
Tumia common sense kujua nani mkweli
 
Ndo usubiri sasa yanga watoe official statement sio kukulupuka kwa kusikiliza taarifa ya upande mmoja unasemaje wameingia mitini wakati izo siku 3 walizopewa bado hazijafika
 
View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
hawabandui asilani

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Fei toto fata sheria za mkataba.!! Sisi yanga tunaenda kisomi zaidi Fei toto ndo anazingua.. Fei fata sheria ndg yangu hao watu ulionao watakupoteza Fei.. Wezi hao
.
 
View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.

Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.

Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?

Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.

SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.

Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.

Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?

Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Huu uzi utaisha kwa aibu subiri tuone
 
Wewe nawe chiz.i, unaokota maujinga ya huyo chiz.i alafu unayaleta hapa nawe tunakuona chiz.i!
 
Eenh! tupe muendelezo vp mahakamani kuna jipya? wameanza kubandua nembo? zee la nyuzi za kubuma
 
Back
Top Bottom