Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Acheni kulalamika hovyo angalia hapa nasisi ratiba ipo vile vile kama nyinyi lakini hukuti sisi tukilalamika.Tusifikie huko mkuu!
Jumamosi tukicheza na nyie mechi ya 2 leg tunapumzika siku mbili tu yani juma 2 na juma 3, juma 4 tunaingia uwanjani kucheza na Biskra.
Tukitoka hapo tunakaa siku 2 tena kisha Ijumaa tunaingia mzigoni na Mc Oran ambao ni mshipa sana.
Lakini pamoja na ratiba yetu hii kuwa sawa na yenu bado hutukuti sisi tukilalamika hovyo kutafuta huruma kama nyie.