Yanga kuingia hatua ya makundi na kuidharau VPL ni uboya au upoyoyo?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!

lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?

Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?

"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"

yanga bhana!

sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....

vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.
 
kwqni simba inawauma nini na mahela yaliyovunwa na wanajangwani.... mahela meeeeeeengi yametua jangwani.... mwambieni manara kama anataka kuagiza gari ethipoia amwambie msajigwa maana mahela ni meeeengi yaliovunwa
 
Ndio hapo sasa Mkuu.

Amejipinda weee kuandika anachokijua yeye. Tumwambie tu kwamba hizo mil 600 ni pesa ya ubingwa wa ligi kuu kwa zaidi ya misimu 06.
 
kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!

lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?

Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?

"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"

yanga bhana!

sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....

vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.
Hivi mkuu kwa sasa anamiliki ndoo ya VPL??
 
Back
Top Bottom