Hahahaa. Akikujib nitag na mie.Ww unacheza namba ngapi pale msimbazi ?
Ndio hapo sasa.Nani kawazuia nyie kupanda ndenge?
Hahahaa. Akikujib nitag na mie.
Hahaa. Sio mbali mbona.Amesema tutaona 29/....
Hahahaaaaa. Lol.Mtoa mada naona una wivu wa kike......Pole sana!
Haa haa hao kawaida yaoHahaa. Sio mbali mbona.
Tuombeni uzima ila wasije kutafutana uchawi tu.
Ndio hapo sasa Mkuu.kwqni simba inawauma nini na mahela yaliyovunwa na wanajangwani.... mahela meeeeeeengi yametua jangwani.... mwambieni manara kama anataka kuagiza gari ethipoia amwambie msajigwa maana mahela ni meeeengi yaliovunwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta nakumbuka ile kanga iliyokuwa na maandishi yaHahahaaaaa. Lol.
Hivi mkuu kwa sasa anamiliki ndoo ya VPL??kwanza niwapongeze yanga kwa kuingia hatua ya Makundi ...mmepata pesa lazima tuwapongeze katika hilo!
lakini hii jeuri ya kuitukana ligi yetu VPL kwakuwa tu mmepata hela je ni ujinga au ni ule msemo Wa maskini akipata matako hulia mbwata?
Leo hii mmesahau kuwa ligi ndio iliyosababisha mkapata hizo m 600?
"tumechukua m600 , wakati ligi wanatoa m80, kwahiyo sisi ni zaidi kuliko Simba!"
yanga bhana!
sasa niwaambie tu kwa matusi haya ..mwakani ndege mtaiona kwenye movie za kivita tu shenzi type....
vinginevyo tar 29..tutaongeza dozi badala ya 5 zitakuwa 7.