Yanga kuingia robo fainali inabidi ashinde game zote mbili na si vinginevyo

Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
 
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
Al hilal keshafuzu atotumia nguvu nyingi kwenye mechi ya yanga, na yanga ndio wataiitaji iyo mechi kwa nguvu zote ivyo watashinda iyo mechi na Mc alger kwa mkapa atokuwa na chake ni kipigo tu
 
Yes nadhani option namba 1 ndio nzuri zaidi.
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Yote yanawezekana ...
 
Al hilal keshafuzu atotumia nguvu nyingi kwenye mechi ya yanga, na yanga ndio wataiitaji iyo mechi kwa nguvu zote ivyo watashinda iyo mechi na Mc alger kwa mkapa atokuwa na chake ni kipigo tu
Hayo ni mawazo yako sio mawazo ya ibenge na al hilal.

Halafu wewe sio msemaji wa al hilal kwahiyo usiwasemee.

Kama siku hizi umekuwa mganga unaweza kutabiri mambo yajayo hongera sana.
 
Basi tulia ivyo ivyo utaona kitachotokea nadhani yanga hii habari zake unazo vizuri
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Hii ni Kama MC alger atashinda mechi yake dhidi ya Mazembe
 
Al hilal keshafuzu atotumia nguvu nyingi kwenye mechi ya yanga, na yanga ndio wataiitaji iyo mechi kwa nguvu zote ivyo watashinda iyo mechi na Mc alger kwa mkapa atokuwa na chake ni kipigo tu
Mlivyo na Midomo lazima Al hilal awakamie awakande vyuma vingi sana
 
Ajitahidi mechi ijayo ashinde, Tp Mazembe sio wa kumtegemea, akienda Arabuni anakandwa nyingi tu na wale jamaa watakua na utofauti mkubwa wa magoli na Yanga.

Yanga akishinda hiyo mechi ijayo kibarua hakitokua kigumu sana mechi ijayo kama akidrau au kupigwa kabisa
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Uko sahihi kabisa mzee mwenzangu kama msimu uliopita tu tulikua na option kama hizi..
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Anayepita ni MC Alger na Al Hilal.

Yanga nafasi ya kupita ni ndogo sana.
 
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
GSM aweke dau la milioni 200 kwa kila mchezaji iwapo watashinda.
 
Back
Top Bottom