Yanga kuingia robo fainali inabidi ashinde game zote mbili na si vinginevyo

Yanga kuingia robo fainali inabidi ashinde game zote mbili na si vinginevyo

Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Ya 3.. MC Alger asishinde game zake 😅😅😅

Kama ulitazama game ya MC vs Al Hilal yanga kushinda goli 3 bila sio rahisi. Al hilal kufungwa labda wauze mechi tu maana wao kihesabu wameshapita tayari
 
1736301841593.png
 
Ya 3.. MC Alger asishinde game zake [emoji28][emoji28][emoji28]

Kama ulitazama game ya MC vs Al Hilal yanga kushinda goli 3 bila sio rahisi. Al hilal kufungwa labda wauze mechi tu maana wao kihesabu wameshapita tayari

Belouizdad alivyofungwa goli 4 kuna mtu alitaraji jambo kama hilo?
Al Hilal walicheza na Yanga first leg na tuliona Yanga wali dominate mchezo na walitengeneza mashambulizi mengi zaidi ya hatari kuliko Al Hilal lakini walishindwa kuzitumia. Yanga iliyocheza na Al Hilal ilikuwa ni timu iliyokosa wachezaji muhimu kama Aucho na Mzize na pia kocha ndiye mechi yake ya kwanza tokea aichukue timu ndani ya wiki moja. Saa zingine muache unazi jadili kama mtu anayejua mpira sio kuropoka tu kuwa wauze mechi kama vile mpira ulichezwa chumbani first leg. Zaidi ya counter attack ibenge hana kingine hivyo wachezaji wakiwa makini hakuna namna anayoweza kushinda.
 
Back
Top Bottom