Yanga kuingia robo fainali inabidi ashinde game zote mbili na si vinginevyo

Nimegundua kumbe TP Mazembe bado ana nafasi iwapo atashinda game zake mbili na kufikisha point 8 halafu Yanga apoteze mechi moja na MC Alger atoke sare na Yanga.
 
Anayepita ni MC Alger na Al Hilal.

Yanga nafasi ya kupita ni ndogo sana.
Unaongea kwa kuzingatia mahesabu au mahaba au utabiri? Maana kimahesabu timu zote tatu kati ya Yanga, Mc Alger na Tp Mazembe zina nafasi ya kufuzu robo fainali. Sasa sijui wewe unayesema anayepita timu fulani na fulani ana nafasi ndogo unatumia kigezo kipi
 
Shida ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga. Kwenye IMPOSSIBLE mnataka kuambiwa ni POSSIBLE.

Hata kwa akili ya D 1 anajua hapo mwenye nafasi kubwa ni Al Hilal na MC Alger na wenye nafasi finyu ni Yanga na Mazembe. Mnaishi kwa kutegemea Miujiza
 
Kivipi elezea vizuri
1. Al Hilal vs Yanga . 80% Al Hilal anashinda
2. Mc Alger Vs TP Mazembe : Alger ushindi ni 85%.
3. Al Hilal Vs Mazembe: Al Hilal ushindi ni 70%
4. Yanga Vs MC Alger: 50% kwa 50%

NB:
Miujiza ipo ingawa ni 5% tu
 
Toa sababu kwanini unasema ni impossible
 
Umetumia kipimo kipi kupata hizo asilimia 80 za Al Hilal kushinda
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Ya tatu ni kutumia uchawi
 
Toa sababu kwanini unasema ni impossible
Mathematicians wanaelewa. Sasa kama wewe hukusoma hesabu huwezi kuelewa. Tunaambiwa mtu yeyote anayejua hesabu huwa na uelewa wa haraka. Ila nyie mnaojua Civics na History ndio mliochimba chini ghorofa la Kariakoo likaanguka
 
Sawa lodi lofa
 
Al hilal keshafuzu atotumia nguvu nyingi kwenye mechi ya yanga, na yanga ndio wataiitaji iyo mechi kwa nguvu zote ivyo watashinda iyo mechi na Mc alger kwa mkapa atokuwa na chake ni kipigo tu
Yanga hapohapo alipasuka mbili moja kutoka kwa mwarabu wa algeria
 
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
Hili kundi bado timu zote tatu zilizobaki zina nafasi. Tusiwadharau hata hao Mazembe sababu wana uwezo wa kufikisha pointi nane. Hao MC Alger sio wazuri Mazembe anaweza akapita nao.
 
Yanga ina option mbili ya kufuzu robo fainali
1) option ya kwanza ni kushinda mechi zote mbili zilizobakia
2) option ya pili ni kutoa sare dhidi ya Al Hilal kisha kushinda goli 3:0 dhidi ya Mc Alger
Wewe Mpira unaujua kuliko Huyo anayeleta hoja bila facts.
 
Back
Top Bottom