Yanga kulamba Milioni 500 wakiifunga TP Mazembe

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe.

Matajiri na vigogo hao wamewatamkia mastaa wa Yanga milioni mia tano katika kuwapandisha mzuka ili wakausake ushindi kesho Kwa Mkapa, baada ya kutofurahishwa na kipigo cha mchezo wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Al Hilal uliowatibulia hesabu mapema kabla ya kupoteza tena ugenini kwa MC Alger.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo, amesema uongozi wa klabu hiyo unaridhishwa na maendeleo ya mabadiliko ya kikosi chao na sasa wanasubiri kuona timu yao inapata ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa chini ya Ramovic.
 
Ukishaona utopolo wametoa iyo ahadi jua kabsa game ya kesho ni sare tasa au utopolo kuambulia kipigo
Wakati benchi la ufundi likijipanga kupata Ushindi, VIGOGO na matajiri wa klabu ya Yanga nao hawalali wakiendelea na mipango ya nje na sasa wachezaji wa timu hiyo wamewekewa mzigo wa Sh 500milioni mezani kama njia ya kuongeza mzuka wa kupata ushindi mbele ya Mazembe.

Matajiri na vigogo hao wamewatamkia mastaa wa Yanga milioni mia tano katika kuwapandisha mzuka ili wakausake ushindi kesho Kwa Mkapa, baada ya kutofurahishwa na kipigo cha mchezo wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Al Hilal uliowatibulia hesabu mapema kabla ya kupoteza tena ugenini kwa MC Alger.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo, amesema uongozi wa klabu hiyo unaridhishwa na maendeleo ya mabadiliko ya kikosi chao na sasa wanasubiri kuona timu yao inapata ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa chini ya Ramovic
 
Hiyo ni danganya toto, wangekuwa na hela hizo wangelipa madeni wanayodaiwa. Million 500 kwa mechi moja ?? tena ambayo hata hiyo mechi ukishinda bado unaendelea na hesabu za "Tuki waki" kama kawaida

Haihitaji hata Akili kubwa kujua hapo wanahamashihwa tu ila hiyo hela hata wakishinda hawapewi labda wapite makundi
Scars OKW BOBAN SUNZU SAYVILLE
 
Yanga kumfunga mazembe sio kazi ngumu.

Tatizo ni moja tu, kwamba uamuzi wa yanga kufuzu anao ibenge na al hilal yake.

Hata kama yanga atamfunga tp mazembe magoli 100. Ibenge akifungwa na Mc alger tu. Yanga anakuwa na hali mbaya
 
Hiyo ni danganya toto, wangekuwa na hela hizo wangelipa madeni wanayodaiwa. Million 500 kwa mechi moja ?? tena ambayo hata hiyo mechi ukishinda bado unaendelea na hesabu za "Tuki waki" kama kawaida

Haihitaji hata Akili kubwa kujua hapo wanahamashihwa tu ila hiyo hela hata wakishinda hawapewi labda wapite makundi
Scars OKW BOBAN SUNZU SAYVILLE
Ndio hapo sasa.

Kwanza Mazembe ya sasa sio ya kuiwekea ahadi za milion 500 ni kuchezea hela (hata kama ni ahadi hewa)

Mazembe ambayo imefungiwa kusajili, mazembe ambayo imeondokewa na wachezaji zaidi ya watano muhimu ambao walikuwa wanaanza kikosi cha kwanza.

Kwa mazingira haya naiona intensity ya mechi ya Gongowazi na Mazembe ni sawa tu na Fountain Gate.

Ila ukiona mpaka wanaweka ahadi basi ujue wanajijua uwezo wao halisi na namna isivyokuwa rahisi kuweka mazingira ya kimaandalizi kwa wao kujipatia wepesi kwenye mechi za CAF kama ilivyo NBC.
 
Kabisa mkuu, ila cha ajabu ni kwamba Tp mazembe mbovu itaipiga Yanga tunayoambiwa ni nzima, mimi huwa nawaambia watu ukitaka kujua ubora wa timu yako usiiangalia wakicheza na Ken gold au Mashujaa,

Bali iangalie kwenye kimataifa utapata jibu kesho yanga itaachwa uchi
 
Sawa
 
Back
Top Bottom