Sijaona mada yoyote hapo... sana sana ni viroja tu vya ki-Makolo!!Mkeka mreeefu,lakini nje ya mada. Haya rudi kwenye mada sasa
Umetazama kwa jicho la Utopolo, huwezi onaSijaona mada yoyote hapo... sana sana ni viroja tu vya ki-Makolo!!
Kwamba wanamficha kuogopa aibu... aibu hiyo anaonewa nani?! TFF, CAF, au Makolo?!
Kama ni kuinea aibu TFF au CAF au wote kwa pamoja, ni nani anatakiwa kuona aibu kama sio hao waliohidhinisha wakati ni fake?!
Kwamba eti Media zimehongwa ili kuficha, c'mon man... this's cheap propaganda!!
Hivi CAF na TFF wanaangalia uwepo wa mtu mitaani kuthibitisha kama amesajiriwa au hapana, au wanaangalia documents?!
Sawa, siwezi kuona... nijibu basi hayo maswali niliyokuuliza!!Umetazama kwa jicho la Utopolo, huwezi ona
Pili,Kwamba wanamficha kuogopa aibu... aibu hiyo anaonewa nani?! TFF, CAF, au Makolo?!
Tatu:-Kama ni kuinea aibu TFF au CAF au wote kwa pamoja, ni nani anatakiwa kuona aibu kama sio hao waliohidhinisha wakati ni fake?!
KARIBU...Hivi CAF na TFF wanaangalia uwepo wa mtu mitaani kuthibitisha kama amesajiliwa au hapana, au wanaangalia documents?!
msukule mwingine huu hapa, hujaona hata picha???Habari zako zote ni uongo. Umepoteza credibility hapa jukwaani. Ulianza na Djuma Shaban hawezi kutua Yanga, mara Aziz Ki kanyakuliwa na Simba, ukaja na suala la Nabi, bado unataka uendelee kuaminiwa?
Natamani sana kujua shida yako hasa ni ipi! Unamdai! Maana huna maslahi yoyote yale na huyo Kambole! Wamfiche, wasimfiche! Shida yako ni nini hasa?View attachment 2398171
Hili sio personal matter, ni public. Bora wewe hujakataa kwamba kafichwa
Alama ya Kwanza ya mnafikiView attachment 2398063
View attachment 2398000
Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita.
Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili.
Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda.
TFF ilihalalisha kucheza kwa Kisinda Yanga ikiwa ni uamuzi wa kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya TFF.
Tuliambiwa hilo lilitimia baada ya kumpeleka kwa mkopo Kambole katika timu ya Wakiso Giants nchini Uganda na ITC yake ilitumwa huko na sio Yanga tena.
Kumbe haikuwa kweli mchezaji huyo amefichwa kambini ili asionekane hadharani kukwepa aibu.
Mficho huu huwezi kuukuta media kwa sababu wachambuzi wote wamepewa maelekezo sambamba na kitu kidogo ili kunyamazishwa. Kama Simba Sc ingekuwa imefanya tukio la hovyo kama hili dunia ingesimama kwa makombora kwa Barbra.
Nawataka Yanga wamuache Kambole awe huru kuchangamana akisubiri hatma yake badala ya kumficha ndani kama msukule
Alama ya pili ya mnafikiTofautisha kati ya habari ya uongo na suala la muda
Yaani..Ukweli huwa unauma Sana mtoa Mada atashambuliwa Sana na utopolo
Haki za binadamu lazima ziheshimiweAmekuomba uje umsemee humu jukwaani?
Ulishapoteza kuaminiwa na hata hiyo picha ni ya kubumba tuHuyo kwenye picha ni nani
Rage ndo alimaliza kila kituLuc eymael hakukosea kuwaita manyani mambwa mnabweka bweka hivyo yaani mleta mada kaleta topic nzuri tu ya kudiscus ujinga wa viongozi wenu mnakuja kumtusi humu
Kwamba nyie mna vinyesi kwenye nguo zenuRage ndo alimaliza kila kitu