Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

Jibuni hoja ni sio attacks..mpk sasa mleta mada ana ongoza kwa hatrick hahaa yani mngesema sio yy au yupo kwa sbb moja mbili tatu...ila naona mnamvaa mleta thread vibaya mno inadhihirisha kuna shida kweli.
Nani sasa wa kujibu hoja za kipuuzi kama hizo! Mjijibu wenyewe.
 
Ukweli ni kwamba Kambole yupo Kigamboni. Sisi wafukunyuku tunalijua hilo kitambo.
 
Yuko vipers huyoooo walisema
 
Uzi unasema Kambole hajaenda Uganda ila yupo Kigamboni ukaambatanisha na picha ukimuwekea alama Kambole kana kwamba ndio ameonekana,

Swali: hiyo picha imepigwa mwaka gani?
Swali lako limejibiwa na uzi,rudi kasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…