Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!!

Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine kuliko mchezaji yoyote ni pengo( kama unabisha, muulize gamondi, usiporidhika na majibu panda ndege mfuate nabi sauzi atakupa majibu )

Msingi wa hoja yangu ni kuwa huenda mechi ijayo yanga akapelekewa moto vilevile na ikawa mechi ngumu zaidi.....kwann??

1. Pressure kubwa kwa wachezaji baada ya kupoteza mechi Vs Azam ( hawajazoea )

2. Kumkosa wachezaji muhimu ( Aucho na baka )

3. Kuwaza mechi ya club bingwa Vs Al hilal Omdurman ya Sudan

4. Fitness na fatigue ya wachezaji...mfano: mwamnyeto mechi ijayo huwezi muamini coz mda wowote anatoa Boko

5. Mwisho na muhimu: nilishawahi kusema hapa jf kuwa gamondi ilikuwa suala la muda TU watu kuelewa mbinu zake mkanitukana Sanaa....Sasa mnadhani hizi Moja Moja ni bahati mbaya??? Shauri yenu

Halafu jinsi mlivyo hamna akili eti mnajipa moyo sijui " hatutaki kushinda nyingi, kimoja TU kwa yoyote".....bila kujua timu yenu inashuka kwa Kasi kubwa

Bila kusita najua kituo kinachofuata ni kocha kumla kichwa....na Mimi kama metronidazole 400mg natamani sana hili litokee shenzi!!!

Haya mkakojoe mlale
 
Naskiliza interviews za mashabiki nje ya uwanja baada ya game.

Kuna shabiki la Gongowazi linaitwa mwalimu Yanga.
PXL_20241102_193044134.MP.jpg

Linalaumu eti Arajiga amepewa maelekezo kutoka juu kuidhulumu Yanga.
 
Chukua kinywaji hapo mkuu bills on me
Mkuu unajua hawa vinabo walijisahau sana na hii yote sio kwasababu wana timu nzuri. Hapana.

Ni kwasababu uwekezaji uliofanywa nje ya uwanja kuhakikisha wanapata matokeo kwa gharama zozote.

Hii ikawapa confidence ya wao kushinda mchezo kabla hata haujaanza kwasababu wana uhakika kama sio refa basi the whole team ipo kwenye pay roll ya GSM.

Na kingine ni dhana ya kijima ya kuamini sana kwenye ushirikina.

Nadhani ni kutokana na nature ya timu yao unaweza kuwaza labda pengine kwakua ilianzishwa na wazee na utaratibu wa wazee ni kurithishana mikoba kwa wajukuu na ndio maana hii kitu imezidi kuwepo hadi kwenye hiki kizazi.

Nimeshangaa leo kusikia Afisa Habari anahamasisha watu wafanye mambo ya kishirikina ili timu yao ishinde.

Yani haamini kwenye uwezo wa wachezaji wake. Kuna haja gani ya kumlipa mamilioni mchezaji ikiwa matokeo yanatafutwa nje ya uwanja na watu ambao hawachezi ndani?
 
Hukujiongeza mkuu, Kila kauli ya mwekezaji wao kusema " nyuma mwiko bingwa"....tena kwa kujiamini huoni hapo kulikuwa na Kila sababu ya upangaji matokeo??....ni wazi haueshimu mpira na kwanini?? Kuna Nini nyuma??....hakuna zaidi ya bahasha na kupanga matokeo
Mkuu unajua hawa vinabo walijisahau sana na hii yote sio kwasababu wana timu nzuri. Hapana.

Ni kwasababu uwekezaji uliofanywa nje ya uwanja kuhakikisha wanapata matokeo kwa gharama zozote...
 
Hukujiongeza mkuu, Kila kauli ya mwekezaji wao kusema " nyuma mwiko bingwa"....tena kwa kujiamini huoni hapo kulikuwa na Kila sababu ya upangaji matokeo??....ni wazi haueshimu mpira na kwanini?? Kuna Nini nyuma??....hakuna zaidi ya bahasha na kupanga matokeo
Yani kiuhalisia hakuna mchezaji wa kusumbua kichwa pale Utopolo kusema eti mpaka wanafika round ya 8 hawajapoteza mechi wala kuruhusu bao.

Ukipiga mahesabu hii ilikuwa ni mechi yake ya 2 alipaswa kupoteza huku akiwa na sare 2. Mechi na Ken Gold lile lilikuwa ni bao ule mpira ulivuka mstari.

Mechi ya juzi hapo Baleke katia kamba goli la offside refa kaita kati, hii pia ilikuwa ni sare ila Refa akawanusuru.

Kingine ni ule ushamba wa wachezaji kumzonga muamuzi kwa kudhani kuwa atahofia kutake action kwa kuwapa adhabu kwa kile wanachokidhani kuwa wao ni wakubwa wana protections.

Wana amini timu yao inapendwa na viongozi wa juu hivyo hata refa kabla ya kufanya maamuzi lazima afikirie kibarua chake au kuwakwaza hao wakubwa ambao wanaweza kumfanya lolote.
 
Back
Top Bottom