Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Katika maelezo yooote hayo....haibadilishi ukweli Aucho ni mchezaji muhimu yanga, acha acheze na tabora kwanza nitakuja kukukumbusha hapa
Kwaiyo mchezaji muhimu alisajiliwa peke yake ndani ya timu, aucho anaweza kucheza peke yake ndani ya uwanja? Nini maana ya team work?
 
Aucho mbona hajacheza mechi mbili msimu huu na zote Yanga alishinda. Hoja yako wala haina msingi, hizo mechi nyingine alicheza Salum Abubakari na wala hakukuwa na shida.
Achana nae uyo vijana wa mangungu wamepata kichaka cha kujifichia kwenye matokeo ya Azam sasa Kila Mmoja anatoka shimoni na lakwake!
 
Wewe ungekuwa na point ngapi kama hao hao waamuzi wasingekubeba? Ebu tuambie maana hoja yako imejikita kwa waamuzi zaidi, yanga sio level zenu mnajikaanga wenyewe badala ya kutengeneza timu, akuna timu hapa Tanzania inamfikia yanga ubora mnapojificha kwenye matokeo ya Azam na yanga ili kupata pa kusemea mnaferi na mtaendelea kuferi!
Malalamiko mengi ambayo mmeyatoa against refa kwenye mechi zetu ni mechi moja tu ya Azam ndio yanaweza kuonesha kuwa yapo closely na uhalisia.

Kwenye goli la Ngoma ndio lililokuwa na viashiria vya offside.

Sasa assume hilo goli lifutwe, still haitaondoa ushindi ambao ni matokeo ya mwisho kwasababu yalifungwa magoli mawili.

Lakini nyie katika mechi zenu zote ni chache sana ambazo zimemalizika bila kuwepo dosari.

Baleke offside, penati tatu zilizopetwa kwenye Derby.

Goli la Ken Gold kukataliwa.

Tukisema tufute hayo magoli na ku regulate bad decisions za waamuzi nyie hamkupaswa hata kuwepo kwenye nafasi ya 4 ya msimamo.
 
Makolo wamepata pa kusemea, basi wanaongea balaaa🤣🤣🤣
 
Mechi Moja ipi wewe point za Dodoma Jiji zilikuwa halali? Ile penalty ilikuwa halali? Yanga inajibeba yenyewe aibebwi na mtu na takwimu zinaongea sio mapambio, umepigwa mechi 4 mfululizo unawezaje kusema yanga anabebwa!
 
Gamond aambiwe ukweli, Sure Boy siyo namba 6 yule ukitaka kumfaidi acheze 8 mkude 6, Gamond Aache Ego🚮
 
Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!!

Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine kuliko mchezaji yoyote ni pengo( kama unabisha, muulize gamondi, usiporidhika na majibu panda ndege mfuate nabi sauzi atakupa majibu )

Msingi wa hoja yangu ni kuwa huenda mechi ijayo yanga akapelekewa moto vilevile na ikawa mechi ngumu zaidi.....kwann??

1. Pressure kubwa kwa wachezaji baada ya kupoteza mechi Vs Azam ( hawajazoea )

2. Kumkosa wachezaji muhimu ( Aucho na baka )

3. Kuwaza mechi ya club bingwa Vs Al hilal Omdurman ya Sudan

4. Fitness na fatigue ya wachezaji...mfano: mwamnyeto mechi ijayo huwezi muamini coz mda wowote anatoa Boko

5. Mwisho na muhimu: nilishawahi kusema hapa jf kuwa gamondi ilikuwa suala la muda TU watu kuelewa mbinu zake mkanitukana Sanaa....Sasa mnadhani hizi Moja Moja ni bahati mbaya??? Shauri yenu

Halafu jinsi mlivyo hamna akili eti mnajipa moyo sijui " hatutaki kushinda nyingi, kimoja TU kwa yoyote".....bila kujua timu yenu inashuka kwa Kasi kubwa

Bila kusita najua kituo kinachofuata ni kocha kumla kichwa....na Mimi kama metronidazole 400mg natamani sana hili litokee shenzi!!!

Haya mkakojoe mlale
We jamaa ni mnoma sana kula gwala
 
Back
Top Bottom