Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Me naendelea kukumbushia Dube kwanini hafungi?🤣🤣
 
Uwanja wa Mkapa una mageti matano, katika hayo matano hamjawahi kutumia geti lolote kupita kwenye mechi ya Derby

Unaweza kututobolea hiyo siri huwa mnapitia wapi mpaka tunawaona uwanjani?
Sasa kuna uhusiano gani wa kukataa kupita getini na ushirikina?

Kwanini hilo tukio lihusishwe na ushirikina?

Na kama ni ushirikina unaweza kutuwekea ushahidi usio na shaka kwamba ni ushirikina?

Ushahidi wa Simba kufanya vitendo vya kishirikina uko wazi kabisa nimekuwekea.

Mpaka faini mmepigwa kuanzia michuano ya ndani mpaka ya kimataifa.
 
Unaelezeaje hicho kitendo bila kuhusisha ushirikina?

Basi la timu lina siti 70 lakini limefika uwanjani likiwa na dereva peke yake. Hiyo unaielezeaje bila kutaja imani za kishirikina?

Timu yenu imejaa wazee ndio maana mambo hayo yamekuwa yakitokea kama desturi.
 
Uwanja wa Mkapa una mageti matano, katika hayo matano hamjawahi kutumia geti lolote kupita kwenye mechi ya Derby

Unaweza kututobolea hiyo siri huwa mnapitia wapi mpaka tunawaona uwanjani?
 
Unaelezeaje hicho kitendo bila kuhusisha ushirikina?
Ni wewe tu ndo unalazimisha kihusishwe na ushirikina ambao bado ujaweka ushahidi wa wazi zaidi ya hisia zako hasi tu.

Inawezekana kupita nje ya geti rasmi ikawa ni mind game tu wanayoicheza yanga dhidi ya wapinzani wao hasa wanaoamini na kuabudu ushirikina kama nyinyi na kwa hilo wanafanikiwa.
 
Blog za udaku unaziamini sana

Kanyweni supu na kesho.

Shenzi
Teeh teeh naona dawa Imeingia barabara.

Kule South Africa licha ya makolo kuchoma uwanja na mavumba yenu dhidi ya Orlando pirates bado mkafungishwa virago!
 
Mechi ijayo Yanga watafungwa na Tabora. Goli atajifunga Kijili
 
Teeh teeh naona dawa Imeingia barabara.

Kule South Africa licha ya makolo kuchoma uwanja na mavumba yenu dhidi ya Orlando pirates bado mkafungishwa virago!
Kimoja cha mbuzi..kesho mapema mnasikia nyinyi wapumbav, mje chamazi mnywe supu na chapati
 
Hawana uwezo wa kushinda, saiz game zao zinachezwa na waamuzi,

Matumizi ya nguvu yanazid matumiz ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…